Hakuna anayeruhusiwa labda malaika au mgeni yoyote anakuja na kuondokaHebu tuambie ukweli ni nani akija nyumbani kwako bila kukupa taarifa hutakuwa na tatizo naye?
Mimi kwangu itategemea na jambo lilikuleta ila kama unataka kuja kunisalimia tu nitashukuru sana ukinipa taarifa ili nami niweke ratiba zangu zivuri
Lucha ugomvi wako na wapare unahitaji reforms🤣🤣🤣Demu yoyote ila asiwe mpare
Hebu tuambie ukweli ni nani akija nyumbani kwako bila kukupa taarifa hutakuwa na tatizo naye?
Mimi kwangu itategemea na jambo lilikuleta ila kama unataka kuja kunisalimia tu nitashukuru sana ukinipa taarifa ili nami niweke ratiba zangu zivuri
Hebu tuambie ukweli ni nani akija nyumbani kwako bila kukupa taarifa hutakuwa na tatizo naye?
Mimi kwangu itategemea na jambo lilikuleta ila kama unataka kuja kunisalimia tu nitashukuru sana ukinipa taarifa ili nami niweke ratiba zangu
Mimi niliwahi Kufukuzwa nyumbani kwa Mjomba wangu, kijijini kisa nilienda Bila kumpa taarifa kama naendaHebu tuambie ukweli ni nani akija nyumbani kwako bila kukupa taarifa hutakuwa na tatizo naye?
Mimi kwangu itategemea na jambo lilikuleta ila kama unataka kuja kunisalimia tu nitashukuru sana ukinipa taarifa ili nami niweke ratiba zangu zivuri
Hakunaaaa.Hebu tuambie ukweli ni nani akija nyumbani kwako bila kukupa taarifa hutakuwa na tatizo naye?
Mimi kwangu itategemea na jambo lilikuleta ila kama unataka kuja kunisalimia tu nitashukuru sana ukinipa taarifa ili nami niweke ratiba zangu zivuri
Yani reform sijui hata kama itasaidia labda rebuild kwa mbali sanaLucha ugomvi wako na wapare unahitaji reforms🤣🤣🤣
Absolutely no one I mean how hard it is to just text or call unless iwe Ni life n death emergencyHebu tuambie ukweli ni nani akija nyumbani kwako bila kukupa taarifa hutakuwa na tatizo naye?
Mimi kwangu itategemea na jambo lilikuleta ila kama unataka kuja kunisalimia tu nitashukuru sana ukinipa taarifa ili nami niweke ratiba zangu zivuri
SahihiHakuna hata mmoja maana hata mimi najipa taarifa nikitaka kulud nyumbani...
Najisemea kabisa sasa niludi nyumbani😃😃
Kupata usaidizi wa haraka kwa sababu ni mtu wa karibu..... Lakini pia huduma ya kwanza na kuhudhuria huduma za kitabibu kutokea ninapoishi sio jambo bayakwani hapo ni hospitali
Ndicho hasa nilichomaanisha, Ikiwa anatokea mbali na huduma za kimatibabu anapata karibu na ninapoishi nitampokeaUnaongea unajua kum handle mgonjwa? au unasemea mtu anakuja clinic one week au two weeks?
Yenthoniiiii.......Demu yoyote ila asiwe mpare
Ok Mr nimekupataNdicho hasa nilichomaanisha, Ikiwa anatokea mbali na huduma za kimatibabu anapata karibu na ninapoishi nitampokea
Sijui kwa wengine ila mimi kama ni salamu karibu muda wowote, na utapokelewa na usiponikuta basi maana familia yote ni harakati mwanzo mwisho utapokelewa na Mbwa getiniHebu tuambie ukweli ni nani akija nyumbani kwako bila kukupa taarifa hutakuwa na tatizo naye?
Mimi kwangu itategemea na jambo lilikuleta ila kama unataka kuja kunisalimia tu nitashukuru sana ukinipa taarifa ili nami niweke ratiba zangu zivuri
Sasa nipo manzese single room shamba natolea wapi ?Kinachowasumbua hapa ni uchoyo tuu.... maana mnawaza mtu akija atamaliza bajeti yako ya wali-harage. Limeni, jiwekeeni chakula gharani na shambani... tunzeni pesa mnazojifanya mnazilima mjini 😀 . Haya yote hayatawasumbua. mtu kuja kwako hakuwezi kuzuia ratiba zako, mpe jembe akachimbe muhogo ale uone kama atakusumbua tena. Kama ni mjini siku hiyo mshirikishe kwenye kibiashara chako cha genge aende kariakoo alfajiri akakusanye mahitaji ya gengeni... utaona kinachofuata. Sio unamuwekea Sulltana anakaa kwenye kochi siku nzima anajambajamba humo ndani.