Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Expert wangu,mimi ni shabiki yako sana aisee,huwa nafurahishwa sana na comment zako ,ingawa huwa nazipita kimya kimyaDemu yoyote ila asiwe mpare
Mke Wangunani akija nyumbani kwako bila kukupa taarifa hutakuwa na tatizo naye?
Sasa nipo manzese single room shamba natolea wapi
Hahahahahahaha, umenikumbusha enzi hizo Mzee wangu alishawahi kumrudisha Ndugu maana alipiga Simu akiwa Kibaha kwamba anakuja Dar na hapo katokea Sengerema. Mzee alimwambia shuka hapohapo urudi ulikotoka hakuna wa kuja kukupokea UbungoYeyote isipokuwa liwe jambo la dharura tu na iwe upo eneo nilaloishi. Ila kwa mtu wa mkoani hakuna dharura kwa sababu umepanga kusafiri.
Otherwise ukija bila taarifa utarudi
NimeolewaHujaolewa?!
wewe umeshindikana 😂Kama huna shamba la kulima basi una shamba la kipato cha pesa. Na kwa taarifa yako hao wageni hawaendi kwa mtu asiye na kitu 😀 😀
Ukishakua na familia ni ngumu ku control watu wa kuja na kutokuja.Nimeolewa
I appreciate sana mkuu ila kuwa makini na wapareExpert wangu,mimi ni shabiki yako sana aisee,huwa nafurahishwa sana na comment zako ,ingawa huwa nazipita kimya kimya
Huwa una comment flan hivi za kitofauti sana
Big up bro!
Labda Izrael mtoa roho peke yakeHebu tuambie ukweli ni nani akija nyumbani kwako bila kukupa taarifa hutakuwa na tatizo naye?
Mimi kwangu itategemea na jambo lilikuleta ila kama unataka kuja kunisalimia tu nitashukuru sana ukinipa taarifa ili nami niweke ratiba zangu zivuri
DaaahhMzoa taka.
Nakuunga mkono na mguu mh mjumbeMinaona kwakua binadamu amekua bize na hekaheka za maisha, pia uaminifu umekua mdogo na maisha yamebadilika hata malezi yamekua mabovu ndio chanzo ya hizi mambo zote mazee