Nani anasema pombe ina maliza pesa na kuleta umaskini?

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
61,672
Reaction score
178,673
Pombe inamaliza pesa na kuleta umaskini kwa watu wenye akili ya kimaskinišŸ¤”

Kama una akili ya kimaskini usiguse kabisa pombe, pombe ni kinywaji cha watakatifu wenye udhubutu na akili mtambuka.

Kanisa takatifu la mitume Catholic sio mambaga wakabariki pombe, pale kibosho kanisa langu katoliki nenda ibada angalia wanaotoa michango ya maana ni watu gani?

Angalia hali za walokole kwenye kitongoji chako utapata majibu.

Pombe inapo nyweka na maskini na akili ndio mambo huwa hovyo kabisa.
 
Screenshot_20250623-172425~2.jpg
 
Kabila gani wanapenda pombe na wameendelea sana kila mwaka wanaenda kwao kuhiji na kabila gani wanasali sana ila bado ni wakata ufuta. Tufanye utafiti

Logic/mantiki haidanganyi. Na haifanani na imani!!!
 
Pombe inamaliza pesa na kuleta umaskini kwa watu wenye akili ya kimaskinišŸ¤”

Kama una akili ya kimaskini usiguse kabisa pombe, pombe ni kinywaji cha watakatifu wenye udhubutu na akili mtambuka.

Kanisa takatifu la mitume Catholic sio mambaga wakabariki pombe, pale kibosho kanisa langu katoliki nenda ibada angalia wanaotoa michango ya maana ni watu gani?

Angalia hali za walokole kwenye kitongoji chako utapata majibu.

Pombe inapo nyweka na maskini na akili ndio mambo huwa hovyo kabisa.
Umewasimanga sana.Wasije wakaanza kunywa halafu ikawa inaisha mapema.Usiwasanue.
 
Pombe inamaliza pesa na kuleta umaskini kwa watu wenye akili ya kimaskinišŸ¤”

Kama una akili ya kimaskini usiguse kabisa pombe, pombe ni kinywaji cha watakatifu wenye udhubutu na akili mtambuka.

Kanisa takatifu la mitume Catholic sio mambaga wakabariki pombe, pale kibosho kanisa langu katoliki nenda ibada angalia wanaotoa michango ya maana ni watu gani?

Angalia hali za walokole kwenye kitongoji chako utapata majibu.

Pombe inapo nyweka na maskini na akili ndio mambo huwa hovyo kabisa.
Pombe hii hii ambayo inatupa connections na watu wanaotupa michongo katika day to day life? Pombe hii hii ambayo inatufanya tunakaa na kupanga bajeti za sherehe za wenzetu za gharama kubwa?
Pombe ni tofauti na vitu vingine ndio maana hata Biblia inasema hakikisha unakunywa ufurahi sio ulewe uwe fala kama Nuhu

Back
Top Bottom