Nani anasema pombe ina maliza pesa na kuleta umaskini?

Kaka yake Trump Fred Jr alifariki kwa ajili ya alcoholism, Trump hagusi kabisa alcohol..

John D Rockefella alikuwa hagusi kabisa kilevi..

Elon Musk anakunywa glass ya wine anasema kilevi chake kahawa na diet coke.. anasema anapendelea kuwa sobre ili ku focus na kazi zake...

Si kweli kwamba wanywa pombe ndio wana mafanikio, hao uliowasema huko kanisani kwenu ni wenye mafanikio ya kawaida tu...

Drink responsibly.. .. kunywa moderate hakuna tatizo..
 
Pombe inamaliza pesa na kuleta umaskini kwa watu wenye akili ya kimaskini🤔

Kama una akili ya kimaskini usiguse kabisa pombe, pombe ni kinywaji cha watakatifu wenye udhubutu na akili mtambuka.

Kanisa takatifu la mitume Catholic sio mambaga wakabariki pombe, pale kibosho kanisa langu katoliki nenda ibada angalia wanaotoa michango ya maana ni watu gani?

Angalia hali za walokole kwenye kitongoji chako utapata majibu.

Pombe inapo nyweka na maskini na akili ndio mambo huwa hovyo kabisa.

Ukitaka kujua pombe ni chanzo cha kufulia, nenda Moshi ukaone "Wachaka" walivyopigika kipesa/kimaendeleo kwa sababu ya wari, kongo/piwa, banana wine, na highlife.
 
Pombe inamaliza pesa na kuleta umaskini kwa watu wenye akili ya kimaskini🤔

Kama una akili ya kimaskini usiguse kabisa pombe, pombe ni kinywaji cha watakatifu wenye udhubutu na akili mtambuka.

Kanisa takatifu la mitume Catholic sio mambaga wakabariki pombe, pale kibosho kanisa langu katoliki nenda ibada angalia wanaotoa michango ya maana ni watu gani?

Angalia hali za walokole kwenye kitongoji chako utapata majibu.

Pombe inapo nyweka na maskini na akili ndio mambo huwa hovyo kabisa.
Naunga mkono hoja
 
Kwanza kilichonifanya niwe mnywa pombe ni hizi kazi za utumikizi kwa church.

Nipogida divai ni kama kipaji changu cha kunywa pombe kiliibuka kwa Kasi.
 
Kaka yake Trump Fred Jr alifariki kwa ajili ya alcoholism, Trump hagusi kabisa alcohol..

John D Rockefella alikuwa hagusi kabisa kilevi..

Elon Musk anakunywa glass ya wine anasema kilevi chake kahawa na diet coke.. anasema anapendelea kuwa sobre ili ku focus na kazi zake...

Si kweli kwamba wanywa pombe ndio wana mafanikio, hao uliowasema huko kanisani kwenu ni wenye mafanikio ya kawaida tu...

Drink responsibly.. .. kunywa moderate hakuna tatizo..
🔥🔥 Hatakama sio mlevi lakini hapa umeongea vizuri
 
Back
Top Bottom