Kibosho hatukopeshi bwasheKibosho hio nilivyokuja pre session nikifika hapo kwa sababu maalum šView attachment 3651557
Pombe inaponywekwa na majinga yasiyo na akili mambo huwa ya kipumbavu sanaMangi, huwa nikirudi kule old moshi nakutana na matondroo yanalewa hovyo, saa 12 yako chimbo yanabugia vitochi.
Yanakuambia "Meku nkombe kyadu kyako" ili tu uyape hela ya pombe.
Otee!
For real aiseKibosho hatukopeshi bwashe
š Otee!Mangi, huwa nikirudi kule old moshi nakutana na matondroo yanalewa hovyo, saa 12 yako chimbo yanabugia vitochi.
Yanakuambia "Meku nkombe kyadu kyako" ili tu uyape hela ya pombe.
Otee!
NomaaKwenye msafara wa mamba kenge nao womo
Ukiyapa hela utasikia; "Haika Mowwo. Luweichu tupu, ofanikio."Pombe inaponywekwa na majinga yasiyo na akili mambo huwa ya kipumbavu sana
Umewasimanga sana.Wasije wakaanza kunywa halafu ikawa inaisha mapema.Usiwasanue.Pombe inamaliza pesa na kuleta umaskini kwa watu wenye akili ya kimaskiniš¤
Kama una akili ya kimaskini usiguse kabisa pombe, pombe ni kinywaji cha watakatifu wenye udhubutu na akili mtambuka.
Kanisa takatifu la mitume Catholic sio mambaga wakabariki pombe, pale kibosho kanisa langu katoliki nenda ibada angalia wanaotoa michango ya maana ni watu gani?
Angalia hali za walokole kwenye kitongoji chako utapata majibu.
Pombe inapo nyweka na maskini na akili ndio mambo huwa hovyo kabisa.
Pombe hii hii ambayo inatupa connections na watu wanaotupa michongo katika day to day life? Pombe hii hii ambayo inatufanya tunakaa na kupanga bajeti za sherehe za wenzetu za gharama kubwa?Pombe inamaliza pesa na kuleta umaskini kwa watu wenye akili ya kimaskiniš¤
Kama una akili ya kimaskini usiguse kabisa pombe, pombe ni kinywaji cha watakatifu wenye udhubutu na akili mtambuka.
Kanisa takatifu la mitume Catholic sio mambaga wakabariki pombe, pale kibosho kanisa langu katoliki nenda ibada angalia wanaotoa michango ya maana ni watu gani?
Angalia hali za walokole kwenye kitongoji chako utapata majibu.
Pombe inapo nyweka na maskini na akili ndio mambo huwa hovyo kabisa.
Pombe inamaliza pesa na kuleta umaskini kwa watu wenye akili ya kimaskiniš¤