Nani anasema pombe ina maliza pesa na kuleta umaskini?

Kaka yake Trump Fred Jr alifariki kwa ajili ya alcoholism, Trump hagusi kabisa alcohol..

John D Rockefella alikuwa hagusi kabisa kilevi..

Elon Musk anakunywa glass ya wine anasema kilevi chake kahawa na diet coke.. anasema anapendelea kuwa sobre ili ku focus na kazi zake...

Si kweli kwamba wanywa pombe ndio wana mafanikio, hao uliowasema huko kanisani kwenu ni wenye mafanikio ya kawaida tu...

Drink responsibly.. .. kunywa moderate hakuna tatizo..
 

Ukitaka kujua pombe ni chanzo cha kufulia, nenda Moshi ukaone "Wachaka" walivyopigika kipesa/kimaendeleo kwa sababu ya wari, kongo/piwa, banana wine, na highlife.
 
Naunga mkono hoja
 
Kwanza kilichonifanya niwe mnywa pombe ni hizi kazi za utumikizi kwa church.

Nipogida divai ni kama kipaji changu cha kunywa pombe kiliibuka kwa Kasi.
 
Naunga mkono hoja kwa sauti ya juu
ingawa mimi sio mtu wa tungi
Napenda ganja sanaa!
 
🔥🔥 Hatakama sio mlevi lakini hapa umeongea vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…