Nani anasema pombe ina maliza pesa na kuleta umaskini?

Yeah nimafanikio ya kaiwaida tu, ila nimelenga kuonyesha kuwa pombe sio kikwanzo uwe na akili timamu tu, umenielewa sasa.

Note: kabla ya kufungua uzi niliwaza majibu ya wote humu na mifano yao ndio maana nikautengeneza uzi wangu na mianya ya kutokea
 
Nchi zipi zina wanywa pombe wengi na zinaongoza kwa maendeleo?
Nchi za Ulaya, Urusi, Marekani huko kote wanakunywa pombe sio poa na ndio vinara wa maendeleo na ubunifu hapa duniani. Nchi kama ujerumani gambe linapigwa haswa!! sasa nyie msiokunywa kazi umbea tu na unafq na mfukoni apeche alolo! save water drink beer!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…