Na Rais ni sehemu ya Bunge.Soma Katba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 Ibara ya 62(1)Bunge na Rais
Sahii ni waziri+baraza la mawaziri + bungeBunge na Rais
Jamaa ashafariki na kuhara damu naona unamtag
Ondoa ushetani wako hapa wewe.Jamaa ashafariki na kuhara damu naona unamtag
Hela sio zake ila anauwezo wa kusema hizi msitoe hizi toeni. Means ni zake Shangaa apo sasa.Nimeshukuru kwa mawazo yenu hasa NGOSWE2. Kumbe hela siyo za kwake ila kuna watu wanataka upendeleo wa vyeo.
Aisee mbona una intercept mazungumzo ya watu kwani umefariki kweli kwa kuhara damu?Ondoa ushetani wako hapa wewe.