Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanafiki wengi, chawa wengi.Elimu elimu elimu. Ulichosema kinahitaji mtu mwenye akili timamu kuelewa. Swali ni je Tanganyika wapo wangapi.
Wako wangapi? Wewe siyo mmoja wao. Yaani hujui kuwa Rais ndiye anayeidhisha miamala ya Consolidated Fund? Hivi unajua Consolidated Fund ni mdudu gani? Wee bakia na ujinga wako wenziyo twasubiri Samia 2030 ZFZMWCCM.Elimu elimu elimu. Ulichosema kinahitaji mtu mwenye akili timamu kuelewa. Swali ni je Tanganyika wapo wangapi.
Mimi ndiye nimemuelewa mleta mada ndo maan nimesema ili aweze kueleweka kunahitaji watu wenye akili, na nikauliza je hao Tanganyika wako wangapi.Wako wangapi? Wewe siyo mmoja wao. Yaani hujui kuwa Rais ndiye anayeidhisha miamala ya Consolidated Fund? Hivi unajua Consolidated Fund ni mdudu gani? Wee bakia na ujinga wako wenziyo twasubiri Samia 2030 ZFZMWCCM.
Na hii ndo shida, na siyo tu unafiki bali piabuwezo mdogo wa kuchanganua mambo. Ukweli Watanganyika wengi ni zaidi ya mzigo wa misumari kwenye upara wa wembe.Wanafiki wengi, chawa wengi.
Sawa. Kama mumeamua kujikusanya "nyani huku ngedere kule" basi ni hivyo hivyo. Wewe kaa kundi lako la manyani muendelee kumtukana Rais ni hiari yenu. Lakini mshika masarufu wa Consolidated Fund ni Dr S.S. Hassan. Kila ukipata madaftari darasani au chloride maabara jua kuwa ni yeye kakugea. Na ushukuru - kwa vile asiyeshukuru ni kafiri.Mimi ndiye nimemuelewa mleta mada ndo maan nimesema ili aweze kueleweka kunahitaji watu wenye akili, na nikauliza je hao Tanganyika wako wangapi.
Kwa jinsi tu ulivyomalizia kwa matusi direct kwa kuni attact, wewe ndiyo group kubwa la Watanganyika wasio muelewa mleta mada, hivyo basi ....
.
Kusema Serikali ya Awamu ya Sita(6) inatosha sana...ila naona nae Mh Rais ni kama anapenda vile, maana hakemii?Watumie neno "Mh.Rais Samia Sululu Hassan ameidhinisha kiasi.....cha TSh...katika bajeti iliyopitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"
Na kama ni dhalura waseme "ni kutokana na Nia njema ya Mh.Rais kuongea fedha hizo kutoka mfuko wa Hazina ili kuondoa mapungufu yaliyojitokeza katika bajeti iliyopitishwa na Bunge"
Anayelipa ni Pay Master General baada ya Waziri wa fedha na Rais kukubali (assent) alipe. Nadhani hapo utakuwa umeelewa.Mara nyingi nimewasikia viongozi mba;i mbali mfano Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa wilaya, Wakurugenzi Watendaji na wengine wengi wakisema tunamshukuru Mhe. Rais kwa kutoa mabilioni kadhaa katika mradi fulani. Naomba mnielemishe Je ni Mhe. Rais ndiye anayetoa fedha za miradi yote kutoka mfukoni mwake au fedha za miradi zinatokana na bajeti ya Serikali na mikopo mbalimbali.
Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya 1977 inasema:Mara nyingi nimewasikia viongozi mba;i mbali mfano Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa wilaya, Wakurugenzi Watendaji na wengine wengi wakisema tunamshukuru Mhe. Rais kwa kutoa mabilioni kadhaa katika mradi fulani. Naomba mnielemishe Je ni Mhe. Rais ndiye anayetoa fedha za miradi yote kutoka mfukoni mwake au fedha za miradi zinatokana na bajeti ya Serikali na mikopo mbalimbali.
MACHAWA WANAMPAMBA MAMA KWA KUSEMA YEYE NDIO ANATOKA HUKU WAKIJUA FEDHA ZINATOLEWA NA SERIKALI KWA MUJIBU WA BAJETIMara nyingi nimewasikia viongozi mba;i mbali mfano Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa wilaya, Wakurugenzi Watendaji na wengine wengi wakisema tunamshukuru Mhe. Rais kwa kutoa mabilioni kadhaa katika mradi fulani. Naomba mnielemishe.
Je, ni Mhe. Rais ndiye anayetoa fedha za miradi yote kutoka mfukoni mwake au fedha za miradi zinatokana na bajeti ya Serikali na mikopo mbalimbali.
Kwani Wakati wa Utawala wa Awamu ya 1 mpaka ya 4 RAIS hakuwa Sehemu ya BUNGE?Na Rais ni sehemu ya Bunge.Soma Katba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 Ibara ya 62(1)
Kubishana na watu niliosema Tanganyika tupo wachache ni kupoteza muda wangu bure. Baki na uelewa wako usije kufa kwa kihoro.Sawa. Kama mumeamua kujikusanya "nyani huku ngedere kule" basi ni hivyo hivyo. Wewe kaa kundi lako la manyani muendelee kumtukana Rais ni hiari yenu. Lakini mshika masarufu wa Consolidated Fund ni Dr S.S. Hassan. Kila ukipata madaftari darasani au chloride maabara jua kuwa ni yeye kakugea. Na ushukuru - kwa vile asiyeshukuru ni kafiri.
Hatari Sana mkuu. Unajua machawa kwa kawaida sio Watu wenye aibu linapo kuja swala la kutetea vibarua vyao.Usipate tabu! ukisikia kutetea ugali ndio huko. Hii nchi unakuta mtu mzima na akili yake timamu lakini anajifanya hana akili!
Harafu hii lugha ya mama, kila kitu mama inakera.
Utaona mtu mzima mwanaume ana umri mkubwa kuliko huyo mama ,utasikia mama anatujari sana.