Nani anatoa fedha za miradi, Rais au Serikali kutokana na bajeti yake?

Pesa ni za Wananchi ,Rais ni Mwajiriwa wa wananchi analipwa mshahara nk.
 
Hatari Sana mkuu. Unajua machawa kwa kawaida sio Watu wenye aibu linapo kuja swala la kutetea vibarua vyao.
Ovyo sana hawa Mkuu! Wanatuona hatuna akili kama wao.
Wanasisitiza wananchi walipe kodi, wakiisha kusanywa kodi ya Watanzania , warudi kuwadhihaki kwa kusema 'tunamshukuru mama kwa kutoa pesa '
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…