Nani anaweza kuthibitisha kuwa binadamu ni udongo?

Hii kaweke makumbusho.

Mwanadamu akipimwa anaonekana ana elements za udongo kwa sababu anakula vitu toka udongoni!
Mbali na hapo unaleta ngonjera
 

Lakini madini hayo pia yapo hewani pia (universe nzima inayojulikana), je bado utasema ni udongo tu?

 
Ondoa matapishi huku inteligensia tafadhali!
Usichokiamini wewe kiache kama kilivyo kwani hata unachokiamini wewe kikiitwa matapishi utakasirika.

UUMBAJI WA MWANAUME NA MWANAMKE (Mwanzo 1:24-28; 2:7, 18-24)
Uumbaji wa mtu umeelezewa katika kitabu cha Mwanzo 2:7; " naye Bwana Mungu akamuumba binadamu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani mwake pumzi ya uhai na binadamu akawa nafsi hai."
Hatima Mungu aliyomtakia binadamu imeelezwa katika kitabu cha Mwanzo 1:26; "Na tufanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu na muache akatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, wanyama na dunia yote na chote kitambaacho juu ya nchi. "
 

MARKING SCHEME
1.Mungu
2.nafsi ni none tangible na moyo ni tangible.
 
Leta proof tafadhali na sio huu ujinga
 
NAjiuliza tu; how comes natoka kuoga tena vizuri tu na sabuni nzuri and in fact najisugua kabisa but still nikijifuta na TAULO, taulo linachafuka. Kinacholichafuaga TAULO hua ni nini hasa!?
 
madini yote yaliyo ktk udongo yapo mwilini kwa binadam
Mkuu wacha masikhara!!!dhahabu,almas,rubby vinapatkana wap mwilini aisee tuanze kujipiga maoperation bubu??
 
ukifa unazikwa n unakua udogo ndg yng mwl unaoza kabisa den unakua udogo
 
Na ile kauli inayosema umetoka kwaudongo na unarudi kwa udongo, jina la bwana lihimidiwe
 
Vitabu vya dini havina hiyo scientifical proof bali SUPERNATURAL proofs.
 
KAFUKUE KABURI LA BABU MZAA BABU YAKO USIPOKUTA UDONGO UTAKUTA NYWELE JE BADO SIYO UDONGO?
 
kufa kwanza na ndipo utajua kuwa wewe ni udongo au chuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…