Shule unafundishwa jinsi ya kuwa critical thinker kuelewa mazingira yanayokuzunguka, na ufanyeje kukabiliana na changamoto zake. Sasa ukiniambia shuleni umekaririshwa je kwenye dini tusemeje??Ni wewe ndo unapaswa kusepa,unataka kutulea uliyo kalilishwa shuleni?uhalisai unaonekana
Usiku mwema aiseeShule unafundishwa jinsi ya kuwa critical thinker kuelewa mazingira yanayokuzunguka, na ufanyeje kukabiliana na changamoto zake. Sasa ukiniambia shuleni umekaririshwa je kwenye dini tusemeje??
Bado nipo na wewe shule imeleta mabadiliko makubwa kwenye maisha yetu na hivyo imethibitisha umuhimu wake. Je, imani yako imekupatia nini... zaidi ya kuwaza utaenda kuchomwa??Usiku mwema aisee
Nitakuja nichimbe uranium kwakomadini yote yaliyo ktk udongo yapo mwilini kwa binadam
Mmmh hata dhahabu!!!!madini yote yaliyo ktk udongo yapo mwilini kwa binadam
Short and smart answer.thank you.madini yote yaliyo ktk udongo yapo mwilini kwa binadam
Loh we nawe umezidi..Dhahabu,almasi,shaba zooote ziko mwilini
Unataka proof? Tunaongelea dini na dini inahusisha imani ya mwanadamu kwa mamlaka yenye nguvu na Mara nyingi isiyoonekana..done,mimi sikuwepo wakati Yesu anasulubiwa msalabani wala sikuwepo wakati wa uumbaji,ila naamini,.Mimi naamini binadamu na vyote vilivyomo vimeumbwa.Kila siku naposoma mwili wa binadamu ndivyo navyozidi kuamini kuwa viumbe vyote vimeumbwa na sihitaji proof yoyote.Mark Zuckerberg,mmiliki wa Facebook alikuwa Ni atheist(haamini uwepo wa Mungu) ila juzijuzi tu kaamua kuamini..hulazimishwi,kumwamini Mungu Ni maamuzi yako.Na kuwa mwanasayansi haimaanishi humwamini Mungu.Kama wanasayansi wangekuwa na mawazo kama yako hakika tungekuwa tunaishi bado kwenye dark ages
Tunataka prove hatutaki maneno bila ya uthibitisho
Mfano vitabu vya dini viteketezwe vyote halafu miaka 1000 mbele tuambiwe zirudishwe hakika hazitorudishwa lakini sayansi unaweza kuharibu hata ipite miaka 1000 kupitia experiment, nk zitarudishwa tu
Je maneno ya vitabu zina scientific proof
Ukitaka scientific proof, Muamini Darwin.
"Mwenyezi Mungu huumba anavyopenda. Anapohukumu jambo, huliambia 'kuwa' (basi) likawa".3:47
Aina nyingine za uumbaji ni ile ya usanii wa ufinyazi na kupitia wazazi wawili:
"Amemuumba mtu kwa udongo wa ufinyanzi(utoao sauti) kama vyombo vya udongo(55:4)
Na katika ishara zake (za kuonyesha uwezo wake) ni huku kukuumbeni kwa udongo, kisha mumekuwa watu mnaoenea (30:20).
"...... amekuumbeni katika nafsi moja. Na akamuumba mkewe katika nafsi ile ile. Na akaeneza wanaume wengi na wanawake kutoka katika wawili hao(4:1).
Ni kweli cherie. HadanganyiLoh we nawe umezidi..
Almasi bhana haipo mwilini..tunatumia carbon badala ake..almasi kama almasi haipo mwilini..dhahabu sawa ipo,ila kidogo.Ni kweli cherie. Hadanganyi
Ni kweli cherie. Hadanganyi
Vipi mkuu umehifadhi Tanzanite, Gold, platinum mwilini mwako?????!madini yote yaliyo ktk udongo yapo mwilini kwa binadam
Hiyo issue ya kusema watu walitokana na udongo, hata baadhi ya machapisho ya sayansi yanakubali.
Ni kwa sababu elements zote [H, O, N, S, C, +MADINI] Yaliyopo kwenye miili ya watu inapatikana pia kwenye udongo.
Hata vyakula tunavyokula navyo ni udongo, ndio maana kuna mtu anazaliwa na 3.5Kg lakini anazikwa na 100Kg.
Photosynthesis ndio mchakato unaowasaidia watu kujiongezea kiwango cha 'udongo' kwenye miili yao kwa kula vyakula vilivyotokana na udongo.
Hilo swali la pili bado ni debate iliyopo mezani.