Povu halikusaidii zaidi ya kuzidi kuonekana mwehuNikisema wew hun akili hata elim yako ina mashaka nitakuw sijakosea kabisa,unajua maana ya IMANI au ujinga mwingi uliokujaa ndo unakupelekea kuamini imani ni ile iliyo either kanisani au msikitini,after all i can't argue with an imbicile,idiotic dumb ass person like you,my IQ is beyond your stupidity finite comprehensive!!.. Thus keep away of my sight you sturbon burts!!..
Nani humu kakulazimisha uamini kitu?Ni vitu viwili tofauti ndiyo. Ambavyo havikaribiani hata kidogo.
Sina shida na mtu wa dini kabisa, tatizo langu ni anayejaribu kuniforce niamini kitu ambacho haki-make sense hata kidogo.
Nadhani hili jukwaa sio level yako. Sepa tu mkuu
Ondoa matapishi huku inteligensia tafadhali!
Kwanini niamini badala ya kujua?
Acha kukariri upumbavu
jamani nimecheka sana, haaaa haaa we kiboko , unatoa makavu kabisaKumbe ni vitabu vinajua na sio sisi!
mercury, uranium ipo kwa binadamu?Hiyo issue ya kusema watu walitokana na udongo, hata baadhi ya machapisho ya sayansi yanakubali.
Ni kwa sababu elements zote [H, O, N, S, C, +MADINI] Yaliyopo kwenye miili ya watu inapatikana pia kwenye udongo.
Hata vyakula tunavyokula navyo ni udongo, ndio maana kuna mtu anazaliwa na 3.5Kg lakini anazikwa na 100Kg.
Photosynthesis ndio mchakato unaowasaidia watu kujiongezea kiwango cha 'udongo' kwenye miili yao kwa kula vyakula vilivyotokana na udongo.
Hilo swali la pili bado ni debate iliyopo mezani.
Huyu ni mmoja wa small minds zilizojiunga JF.Wali linataka nini na wewe unajibu nini? Mbona wengine wamekaa kimya kwani jibu kama lako hawakuliona?Binadamu kiasili tumetokana na udongo kwani Vitabu vya dini vyote/zote vinajua kuwa asili ya mwenyewe baba yetu Adam aliumbwa kwa udongo
Kutomekisensi huko ni kwako na sio kwa wengine, au wewe eh...usilazimishe, jenga hoja kwa mantikiNani humu kakulazimisha uamini kitu?
Zipo sehemu gani tunaomba ufafanuzi.Dhahabu,almasi,shaba zooote ziko mwilini
Ni kauli tu ww unaamini kauli?Na ile kauli inayosema umetoka kwaudongo na unarudi kwa udongo, jina la bwana lihimidiwe
Mazao yanaota na wanyama wanayala.Mwili wa binadamu ni chakula+maji+hewa. Chakula ni mazao + nyama. Jiulize mazao yanaota wapi na wanyama wanakula nini?
Kwahiyo niamini maandishi?Ni kauli tu ww unaamini kauli?
Jiamini ww kama ww kwani huna iman ww ni jiwe ama mti?!Kwahiyo niamini maandishi?
Kwa mujibu wa imani yangu ndio tumetokana na udongoJiamini ww kama ww kwani huna iman ww ni jiwe ama mti?!
Huu ni upuuzi na ndiyo chanzo cha umasikini, ujinga, unyanyasaji wa wanawake, fujo au makundi ya kigaidi. Unashika maneno ka mtoto bila kuuliza swali, huo ubongo mpe mwingine tu maana obviously hujui kuutumia, unamaliza oxygen tu.Faith does not ask why!
Kama unaamini maandiko matakatifu, hauna haja ya kufanyia utafiki wa kisayansi neno la Mungu.
Ww ndo udongo mimi siyo.Kwa mujibu wa imani yangu ndio tumetokana na udongo
Ulicho niquote mbona hakiendani ulichokieleza.Kutomekisensi huko ni kwako na sio kwa wengine, au wewe eh...usilazimishe, jenga hoja kwa mantiki
Nafikiri jamaa hapa, moyo aliomaanisha sio heart, bali soul kwa maana ya roho.MARKING SCHEME
1.Mungu
2.nafsi ni none tangible na moyo ni tangible.