Nani anaweza kutupa historia ya pesa?

Sawa. Hapa tutaleteana vitabu vingi tu. Lakini hujajibu swali langu. Pesa ya tanzania kushuka thamani au ya zimbabwe ina uhusiano gani na uchumi.
 
Sawa. Hapa tutaleteana vitabu vingi tu. Lakini hujajibu swali langu. Pesa ya tanzania kushuka thamani au ya zimbabwe ina uhusiano gani na uchumi.
Hebu tutafsiri uchumi

Uchumi= ni mwingiliano wa kibiashara ambao unamuwezesha mtu katika jamii husika kupata anachokihitaji kwa kubadilishana na mwenzake anachokihitaji. Wawili wakirithiana bila mtu wa tatu kuingilia kati
 
Kipimo cha uchumi ni nn?

Kipimo cha uchumi kinapimwa katika nchi au jamii fulani kwa kuangalia huduma zinapatikana kirahisi na kwa wakati? Kwa mfano.

Nikitaka kusafiri kwenda dodoma napata usafiri kwa wakati na ninafika kwa wakati
Au nikitaka kula. Napata chakula kwa wakati na kizuri na kwa urahisi upi?

Urahisi wa kitu ndo kipimo cha uchumi
 
Swali: kama hicho ndo kipimo cha uchumi. Mbona tanzania tuna mali za kutosha zinazoweza kufanya maisha yawe marahisi. Kwani huo sio uchumi?
 
Nimeuliza kwa nn thamani ya pesa tanzania ni ndogo ukilinganisha na marekani. Mkaniambia uchumi mdogo. Nikauliza. Uchumi ni nn. Hakuna alienijibu. Haya ndo majibu ambayo tumekaririshwa mashuleni. Lakini hakuna mtu alie wahi kwenda deep kuuliza
Hizo details nilizokupa ni kujibu swali la historia ya fedha.

Kama unataka kujua kuhusu kwanini currency zina thamani tofauti, hiyo ni issue nyingine. Lakini haina uhusiano wa moja kwa moja na ukubwa wa uchumi.

Mimi sio mchumi ina najua exchange rate ina mambo mengi, sio tu ukubwa au udogo wa uchumi mfano google exchange rate inasema 1 usd ni sawa na 109.85 Kenyan Shilling, wakati huo huo 1usd ni sawa na 108.64 Japanese Yen, ukitumia kigezo cha Forex unaweza sema Kenya na Japan ziko sawa.
 
Interesting mkuu. Sawa. Lakini nani anacontrol exchange rate. Na kwa kiasi gani kuna usalama kuwaamini wanaofanya hizo exchange rate?
Na kumbuka hazifanywi na mungu zinafanywa na binadamu. Kuna makosa mengi. Ni nani anawakagua kama wamefanya makosa
 
Currency ni bidhaa kama bidhaa nyingine. Demand and supply rules zinafanya kazi. Nchi inapata foreign currency kwa kuuza vitu au huduma nje, na inapoteza tunaponunua vitu nje kwa kutumia foreign currency. Mkitumia zaidi ya kuingiza ndio hapo fedha yenu inashuka thamani.

Lakini pia kuna sera za fedha. Nchi inaweza kuamua kufanya currency devaluation ambayo inasaidia kupunguza gharama ya vitu, Marekani imekuwa ikilalamikia China kuwa inafanya currency manipulation yake against the USD, kitu kinachofanya bei za vitu vya China kuwa bei chini
 
Waafrika tunafit wapi kwenye system ya hela. Au sisi tunaongozwa tu, nani anaesimamia kujua nchi yoyote kwa ujumla inatendewa haki kwenye mfumo wa hela. Bila kudanganywa?
 
Sawa mkuu karibuni ndani ya masaa 14 naleta
 
Waafrika tunafit wapi kwenye system ya hela. Au sisi tunaongozwa tu, nani anaesimamia kujua nchi yoyote kwa ujumla inatendewa haki kwenye mfumo wa hela. Bila kudanganywa?
Mifumo ya fedha wameshika walioanzisha. Inasikitisha lakini huo ndio ukweli, wanaopanga bei ya dhahabu hawajawahi hata kujua inapatikana vipi. Lakini ndio hivyo tena, michezo hii wameanzisha wazungu, sheria wametunga wao... sisi tumeingizwa tu, ndio maana tunapigwa kila siku.

Tafuta kitu kina Chicago Mercantile Exchange.... unaweza kulima mahindi hapa Katavi, lakini bei wanaamua wana huko Chicago.
 
Aisee mkuu umeongea mantiki. Safi sana. Sasa yapasa tujiulize wote kua. Kujenga mabarabara na kufanya mamiradi bado haitoshi. As long as mfumo wa hela sio wetu. Ukabaila unatuhusu.
 
Aisee mkuu umeongea mantiki. Safi sana. Sasa yapasa tujiulize wote kua. Kujenga mabarabara na kufanya mamiradi bado haitoshi. As long as mfumo wa hela sio wetu. Ukabaila unatuhusu.
Mkuu, mambo ya finance yanatisha sana. Ndio maana ukisikia mtu anasema anataka kupambana na mabeberu, unajua kabisa hajui anachoongelea huyu.

Hutakiwi kabisa kuingia kwenye target za wenye dunia, lazima upotee
 
Sure mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…