Dr Count Capone
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,878
- 3,263
Mugabe hata kama asingewekewa vikwazo angeprint pesa nyingi na kuziweka kwenye mzunguko matokeo yake ni yaleyale tu hyperinflation basimkuu unaongelea state economy, mi naongelea global economy, don't sleep on germany, germany haiwezi kua na inflation, sio nchi ya afrika hiyo, hiyo ni nchi ya ulaya ambayo wana Umoja mkali sana, alafu tambua nchi ya ulaya haiwezi kupata inflation kwa sababu pesa yao ina rotate kama dollar dunia nzima, so its their fiat money against the world( ni kama una print pesa na kuiweka kwenye uchumi wa dunia, hii ni tofauti na kuprint hela na kuiweka kwenye uchumi wa nchi yako), lakini issue ya Mugabe ilikua ni kwamba pesa aliyoprint aliwekewa sunction na restriction kufanya biashara pia ikashushwa thamani kwa reference ya dollar. so alishindwa kufanya biashara hata na nchi zake za afrika, ila afrika ingekua na Umoja sanction isingekua inamadhara yoyote, ila kwa sababu nchi za ulaya zina Umoja, ndo maana hakuna kitu kwao kina itwa sunction kwa sababu wakifanya hivo wanakua wanajipiga pini wenyewe
Kimsingi yeye aliprint pesa nyingi zaidi ili kujikwamua toka kwenye vikwazo.
Umoja wa Ulaya leo hii mbali na Sarafu yao kutumika Ulimwenguni kote kama na wao watathubutu kuziprint pasina kuzingatia uhitaji wa sarafu yao sokoni hatma itakayowakuti ni kama ile ya Zimbabwe 'Hyperinflation'
Ndugu yangu, haijalishi nani anaongoza Uchumi wa dunia au nani kaungana na nani au nani anashirikiana na nani kiuchumi Athari ya kuprint pesa nyingi kuliko uhitaji ma kuziingiza kwenye mzunguko ni moja tu, Awe Ujerumani, awe Uchina, awe Kuwait au awe Marekani athari ni 'Hyperinflation'
Ndio maana wapo makini kuhakikisha wanadhibiti kiasi cha Inflation kwenye nchi zao
Ama kuhusu Sanctions (this is my fav subject[emoji23])
Tujaalie Afrika imeungana (AU) kama ilivyo Umoja wa Ulaya (EU), kisha ikatokea EU ikawa ndio mshirika mkubwa wa kiuchumi wa AU na wakapishana sera ikatokea EU wakawawekea vikwazo AU..... Hapa moja kwa moja AU itaathirika zaidi na vikwazo hivyo.
Kwa maneno mengine:
EU leo hii wakiwekewa Sanctions na Uchina wataathirika sana kwakuwa Uchina hivi sasa ndiye Patner mkubwa wa EU kwenye biashara mathalani kwa mwaka ulopita Uchina ilifanya biashara yenye thamani ya zaidi ya Euro Bilioni 586 ikifuatiwa na Marekani na mataifa mengine.
Hivyo basi hata EU wanaathirika na vikwazo, hakuna aliye salama.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app