Nani anaweza kuwa CDF mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?

Nani anaweza kuwa CDF mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?

So compliated mifumo yao
I guess i was wrong...
Yani wa chini anapewa cheo anaachwa wa juu!!!
Ingekuwa wanafuata kwa mtiririko ingekuwa Rahisi kuuana kisa vyeo. Huo utaratibu uko Dunia nzima, kwamba Jenerali anateuliwa kutoka katika jopo la mejenerali regardless of seniority yao.

Hii inaongeza ufanisi kazini na weledi kazini.

Jenerali anapaswa kuwa mtu mwenye mrengo sawa na Rais aliyepo, mtulivu, angalau anayekubalika na Askari wenzake ili kuweka uwiano na Bond kubwa kati ya Uongozi wa juu na Askari.
 
Mimi napenda ile staili ya Ben Mkapa(rip) yeye aliteua mtu wa kukaa nae miaka zaidi ya 8 na kuendelea,masuala ya unateua mtu halafu ndani ya miaka 2 anateuliwa mwengine ni natumizi mabaya ya kodi za nchi kwani myeuliwa wa hizo post uhudumiwa na serikali mpaka kifo chake.
Ndugu majeneral wote i mean brigedia, Meja, luten na CDf wanahumiwa na serikal mwanzon mwisho htav8 wanabadilishiwa kila baada ya Miaka mitano. Watatofautiana kidgo kulingana na rank ya kustFu. Wanapewa hadi wahudumu wa ndan wa nyumba plus dereva, walinzi etc
 
Yuko jirani yangu mmoja hapa nae alikuwa anatajwa ila wiki 2 zilizopita alifariki ghafla Dodoma anaitwa Kanal Timothy Mbao
Baba Nancy...😭😭

Ghafla sana, jamaa alikuwa mtu poa mno.
 
Back
Top Bottom