Nani anayeihujumu TTCL? Kuna tatizo la kuadimika kwa laini, zinauzwa mpaka 7000

Hivi dpworld hawana mwenzao au ndugu yake anaye deal na sekta ya mawasiliano aichukue ttcl

Ova
 
Hilo shirika kwenye kila kitu kuna commission za watu! Hizi ndio zinapandisha bei

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Line za ttcl zinaongoza kwa kutumiwa na wale wa nitumie kwenye namba hii mimi baba mwenye nyumba wako jina itasoma bandari dubai world🤣🤣🤣
 
Line zinapatikana katika maduka yao tu, ila shida inasoma tigo badala ya ttcl.
 
Walipokosea... TTCL ilitakiwa iwe mamlaka kama TCRA. Isimamie Mawasiliano.
 
Walipokosea... TTCL ilitakiwa iwe mamlaka kama TCRA. Isimamie Mawasiliano.
Nadhani ilitakiwa minala yote iwe chini yao na kukodisha kwa makampuni ya simu ili kuhakikisha huduma inapatikana kote bila shida.
 
Nadhani ilitakiwa minala yote iwe chini yao na kukodisha kwa makampuni ya simu ili kuhakikisha huduma inapatikana kote bila shida.
Umeona eeh!
Sasa wameingia kwenye ushindani kindezi ndezi!
Kila ripoti ya CAG ikitoka wameangukia pua!
 
TTCL ilishauawa tangu RAIS alipotamka kuwa, ttcl wajihusishe na usimamizi wa mkonga wa tafaifa TU. Huduma zingine iachie wengine. Ila inaumiza sana hasa ukifikiria uwekezaji mkubwa uliofanywa na serikali ya awamu ya Tano kwenye shilika hili. Inakera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…