Nani anayetajwa na Mwenyekiti wa CCM Mwanza, Dkt. Diallo kwamba ana faili Hospitali ya Akili Milembe?

Ukiona mtu yeyote anaemsema vibaya mwenzie akiwa hayupo ni bure kabisa.

Sijuhi nani kamdanganya aropoke kisa kutetea ugali?
Nauona mwisho wa huyu mlopokaji. Macho yetu.........
Kukaa kimya ni dawa tosha hatuwezi jua yajayo baada ya 2025.
 

Umeandika vizuri ILA heading yako ni ya uchonganishi kama GAZETI LA UDAKU
 
UNAMJUA SANA WACHA KUTUPOTEZEA MUDA
 
Usiume maneno dr!
Katiba bado ni Tatizo Kubwa!
Sisi binadamu ni dhaifu mno! Katiba Ingekuwa nzuri Tusinge pata kiongozi wa namna hiyo! Na hata kwa bahati mbaya Tungempata Katiba Ingemshughulikia kabla hajatushughulilikia!
 
Ukiona mtu yeyote anaemsema vibaya mwenzie akiwa hayupo ni bure kabisa.

Sijuhi nani kamdanganya aropoke kisa kutetea ugali?
Nauona mwisho wa huyu mlopokaji. Macho yetu.........
Kukaa kimya ni dawa tosha hatuwezi jua yajayo baada ya 2025.
Una kila kiashiria cha uoga.Kuna kipindi kumnyamazia mjinga ni silaha tosha.Hivi kipindi cha Magufuli nani angeweza kumkosoa hadharani?Ni wachache na kwa taaaaaabuuuu walithubutu.Nani angetaka risasi "salasini na nane" zimpate mwilini?Think twice.😝😝😝😝
 
Kama hafamu huyu Mzee Dialo aulize Kilichomkuta aliyewahi Kusema "CCM imepoteza uelekeo"
 
Huyo ni muathilika,
Kama ni jasiri angesema kipindi jiwe yupo hai.
Hana jipya!!!!!!!!!!!
Mpuuzi tu huyu mzee, alizoea kula kwa mgongo wa CCM ila wakamtolea mbavuni awamu iliopita sababu alikuwa anaendesha kituo chake kiuana harakati Magu akamkatia mirija πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!! Kuna namna alikuwa ana promote content za Chadema zinazoleta complication kwa mjuba JPM akatiwa spanaπŸ˜… alitaka ale huku na kule.

Lazma atoe povu maana kiburi cha mtu kipo pale anapopatia riziki tu! Ukifanikiwa kupaziba tu lazma awe mdogo kama puto lililochomwa na mwiba!
 
Wote watakaofanya hivo watajipoteza. Watu wanaomkubali yule mwamba ni wengi mno na hawatabadirishwa na vimaneno vya dialo.
Unajidanganya kijana.Msikilize na umfuatilie muheshimiwa Rais ndiyo utajua mwendazake was nothing but the shit!😝😝😝😝😝
 
Yaani mpaka sasa hujajuwa tu ni nani? Kikwete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…