Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Msome kipengele No 15 utaelewa kwanini hakusema kipindi Jiwe yupo.Huyo ni muathilika,
Kama ni jasiri angesema kipindi jiwe yupo hai.
Hana jipya!!!!!!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msome kipengele No 15 utaelewa kwanini hakusema kipindi Jiwe yupo.Huyo ni muathilika,
Kama ni jasiri angesema kipindi jiwe yupo hai.
Hana jipya!!!!!!!!!!!
Angeanza na kulipa wafanyakazi wake. Katapeli benki nyingi pale Mwanza halafu anataka kuelekeza lawama kwa marehemu.Huyo ni muathilika,
Kama ni jasiri angesema kipindi jiwe yupo hai.
Hana jipya!!!!!!!!!!!
Angetakiwa awe na uthubutu km mwenzake Membe,unajitapa wkt uko peke yako kweliMsome kipengele No 15 utaelewa kwanini hakusema kipindi Jiwe yupo.
Wewe cheka sana lakini ujue Tundu ni Tundu tuu
Mahojiano kati ya Mhe Anthony Diallo Mwenyejiti wa CCM Mkoa wa Mwanza na Mtozi Alloyce Nyanda*
Mjadala umeleta hisia na ushahidi mpya kuhusu utawala wa JPM
1.Baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 Biashara yetu ya Star Tv ,RFA iliharibika -Diallo
2.Sie hatukulipwa na CCM , waliolipwa ni Crew iliyokuwa inatembea na vifaa kama majukwaa , walipewa hela ya kula na kubeba vifaa , ukitazama katiba vitabu vyetu kuna hela chama hadi leo haijakipa-Diallo Mwenyekiti wa CCM
3.Mgombea wetu wa wakati ule alisema atatusaidia na alisema hadharani tena mara mbili pale
Kirumba na furahisha lakini tuliambulia misukosuko
4.Awamu ya 5 iliharibu sana protocal ya Chama , viongozi wa chama walikuwa wanawekwa mstari wa nyuma kabisa gari zinakuwa mwisho hata kama ukifika unakuta mtu amekata utepe-Anthony Diallo mwenyekiti wa CCm
5. Kuna kisa kimoja kiongozi wa CCM mkoa wakati flani tumeenda kumpokea Rais alipigiwa kiwako akadondondoka ,awamu ya Tano ilikuwa inazuia viongozi wa CCM hata kuingia uwanja wa ndege wanaelezwa kubaki nje -Antony Diallo Mwenyekiti wa CCm
6.Kuna siku nimemwambia waziri mkuu , hivi unajisikia raha gani kuzungukwa na mabunduki maana umezungukwa na mabunduki kama ishiri sie tumekuchagua ila unatuogopa ki vipi? -Antony Diallo
7.Swala hapa siyo katiba swala ni kuchagua watu makini ,unawezaje kuchagua kiongozi katika nafasi kubwa ya uongozi huku ana rekodi ya mirembe? Tuwe makini kuchagua viongozi-Anthony Diallo
8. Kama nchi tumepitia katika kiza kifupi ,tumepitishwa katika Black spot apo Nyuma , Sasa angalau watu wanaraha furaha imerejea-Dkt Anthony Diallo
9. Hata mimi Nimeshgulikiwa kidogo wakaniacha ila nimepata
Msukosuko-Anthony Diallo
10. katiba siyi ya Vyama ni ya wananchi kosa tulilofanya ni kugeuza katiba kuwa vyama na kuacha wananchi hata katika lile
bunge walitawala wananchi-Dk Anthony Diallo
11. Katiba siyo Tatizo , tatizo lipo
Kwa watu mnachagua Rais ambae hataki kufata katiba mtanfanya nini? Kwani katiba ya sasa ilikuwa inaruhusu mtu kuwekwa ndani bila utaratibu? Lakini yamefanyika-Anthony Mwandu Diallo
12. Rais samia nimefanya nae kazi ni Rais makini na jasiri ni muumini wa utawala wa bora-Anthony Diallo
13.CCM tulijua haitashinda mwaka 2015 na wananchi wamegeuka wiki mbili tu baada ya kuamua hata kuunda makundi ya vijana kwenye maeneo mbali mbali waweke Star Tv ilibidi itumike nguvu
15.Kuna mambo hatukuweza kuyasema kwa sababu mfumo uliharibika kabisa. Tuliamua
Kunyamaza tuliamua ku place safe mode ili kesho uendelee kuishi na watoto wako.
UNAMJUA SANA WACHA KUTUPOTEZEA MUDABado najiuliza huyo mwanasiasa aliyetajwa na Dr. Anthony Diallo kwamba alikuwa na jalada hospitali ya Mirembe ni nani?
Na kwanini mifumo ilimruhusu kugombea?
Nawasalimu kwa jina la JMT!
=========
KWA UFUPI
Mahojiano kati ya Mhe Anthony Diallo Mwenyejiti wa CCM Mkoa wa Mwanza na Mtozi Alloyce Nyanda
1. Baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 Biashara yetu ya Star Tv, RFA iliharibika -Diallo
2. Sie hatukulipwa na CCM, waliolipwa ni Crew iliyokuwa inatembea na vifaa kama majukwaa, walipewa hela ya kula na kubeba vifaa, ukitazama vitabu vyetu kuna hela chama hadi leo haijalipa-Diallo Mwenyekiti wa CCM
3. Mgombea wetu wa wakati ule alisema atatusaidia na alisema hadharani tena mara mbili pale Kirumba na furahisha lakini tuliambulia misukosuko
4. Awamu ya 5 iliharibu sana protocal ya Chama, viongozi wa chama walikuwa wanawekwa mstari wa nyuma kabisa gari zinakuwa mwisho hata kama ukifika unakuta mtu amekata utepe-Anthony Diallo mwenyekiti wa CCM
5. Kuna kisa kimoja kiongozi wa CCM mkoa wakati flani tumeenda kumpokea Rais alipigwa kiwiko akadondondoka, awamu ya Tano ilikuwa inazuia viongozi wa CCM hata kuingia uwanja wa ndege wanaelezwa kubaki nje -Antony Diallo Mwenyekiti wa CCM
6. Kuna siku nimemwambia waziri mkuu, hivi unajisikia raha gani kuzungukwa na mabunduki maana umezungukwa na mabunduki kama ishirini sie, tumekuchagua ila unatuogopa ki vipi? -Antony Diallo
7. Swala hapa siyo katiba, swala ni kuchagua watu makini. Unawezaje kuchagua kiongozi katika nafasi kubwa ya uongozi huku ana rekodi ya mirembe? Tuwe makini kuchagua viongozi-Anthony Diallo
8. Kama nchi tumepitia katika kiza kifupi, tumepitishwa katika Black spot hapo Nyuma, Sasa angalau watu wana raha, furaha imerejea-Dkt Anthony Diallo
9. Hata mimi Nimeshughulikiwa kidogo, wakaniacha ila nimepata msukosuko-Anthony Diallo
10. katiba siyi ya Vyama ni ya wananchi kosa tulilofanya ni kugeuza katiba kuwa vyama na kuacha wananchi hata katika lile
bunge walitawala wananchi-Dk Anthony Diallo
11. Katiba siyo Tatizo , tatizo lipo kwa watu mnachagua Rais ambae hataki kufata katiba mtanfanya nini? Kwani katiba ya sasa ilikuwa inaruhusu mtu kuwekwa ndani bila utaratibu? Lakini yamefanyika-Anthony Mwandu Diallo
12. Rais Samia nimefanya nae kazi ni Rais makini na jasiri ni muumini wa utawala wa bora-Anthony Diallo
13. CCM tulijua haitashinda mwaka 2015 na wananchi wamegeuka wiki mbili tu baada ya kuamua hata kuunda makundi ya vijana kwenye maeneo mbali mbali waweke Star Tv ilibidi itumike nguvu
15. Kuna mambo hatukuweza kuyasema kwa sababu mfumo uliharibika kabisa. Tuliamua kunyamaza tuliamua ku play safe mode ili kesho uendelee kuishi na watoto wako.
View attachment 1849193
Una kila kiashiria cha uoga.Kuna kipindi kumnyamazia mjinga ni silaha tosha.Hivi kipindi cha Magufuli nani angeweza kumkosoa hadharani?Ni wachache na kwa taaaaaabuuuu walithubutu.Nani angetaka risasi "salasini na nane" zimpate mwilini?Think twice.😝😝😝😝Ukiona mtu yeyote anaemsema vibaya mwenzie akiwa hayupo ni bure kabisa.
Sijuhi nani kamdanganya aropoke kisa kutetea ugali?
Nauona mwisho wa huyu mlopokaji. Macho yetu.........
Kukaa kimya ni dawa tosha hatuwezi jua yajayo baada ya 2025.
Ni bora iwe hivyo kuliko kufa na sumu kifuani.Na wapo wengi tu wanatamani kutapika nyongo zao.Believe it or don't!Dialo kajipiga risasi miguuni asee
Wote watakaofanya hivo watajipoteza. Watu wanaomkubali yule mwamba ni wengi mno na hawatabadirishwa na vimaneno vya dialo.Ni bora iwe hivyo kuliko kufa na sumu kifuani.Na wapo wengi tu wanatamani kutapika nyongo zao.Believe it or don't!
Mpuuzi tu huyu mzee, alizoea kula kwa mgongo wa CCM ila wakamtolea mbavuni awamu iliopita sababu alikuwa anaendesha kituo chake kiuana harakati Magu akamkatia mirija 😂😂😂!!! Kuna namna alikuwa ana promote content za Chadema zinazoleta complication kwa mjuba JPM akatiwa spana😅 alitaka ale huku na kule.Huyo ni muathilika,
Kama ni jasiri angesema kipindi jiwe yupo hai.
Hana jipya!!!!!!!!!!!
Unajidanganya kijana.Msikilize na umfuatilie muheshimiwa Rais ndiyo utajua mwendazake was nothing but the shit!😝😝😝😝😝Wote watakaofanya hivo watajipoteza. Watu wanaomkubali yule mwamba ni wengi mno na hawatabadirishwa na vimaneno vya dialo.
Yaani mpaka sasa hujajuwa tu ni nani? KikweteBado najiuliza huyo mwanasiasa aliyetajwa na Dr. Anthony Diallo kwamba alikuwa na jalada hospitali ya Mirembe ni nani?
Na kwanini mifumo ilimruhusu kugombea?
Nawasalimu kwa jina la JMT!
=========
KWA UFUPI
Mahojiano kati ya Mhe Anthony Diallo Mwenyejiti wa CCM Mkoa wa Mwanza na Mtozi Alloyce Nyanda
1. Baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 Biashara yetu ya Star Tv, RFA iliharibika -Diallo
2. Sie hatukulipwa na CCM, waliolipwa ni Crew iliyokuwa inatembea na vifaa kama majukwaa, walipewa hela ya kula na kubeba vifaa, ukitazama vitabu vyetu kuna hela chama hadi leo haijalipa-Diallo Mwenyekiti wa CCM
3. Mgombea wetu wa wakati ule alisema atatusaidia na alisema hadharani tena mara mbili pale Kirumba na furahisha lakini tuliambulia misukosuko
4. Awamu ya 5 iliharibu sana protocal ya Chama, viongozi wa chama walikuwa wanawekwa mstari wa nyuma kabisa gari zinakuwa mwisho hata kama ukifika unakuta mtu amekata utepe-Anthony Diallo mwenyekiti wa CCM
5. Kuna kisa kimoja kiongozi wa CCM mkoa wakati flani tumeenda kumpokea Rais alipigwa kiwiko akadondondoka, awamu ya Tano ilikuwa inazuia viongozi wa CCM hata kuingia uwanja wa ndege wanaelezwa kubaki nje -Antony Diallo Mwenyekiti wa CCM
6. Kuna siku nimemwambia waziri mkuu, hivi unajisikia raha gani kuzungukwa na mabunduki maana umezungukwa na mabunduki kama ishirini sie, tumekuchagua ila unatuogopa ki vipi? -Antony Diallo
7. Swala hapa siyo katiba, swala ni kuchagua watu makini. Unawezaje kuchagua kiongozi katika nafasi kubwa ya uongozi huku ana rekodi ya mirembe? Tuwe makini kuchagua viongozi-Anthony Diallo
8. Kama nchi tumepitia katika kiza kifupi, tumepitishwa katika Black spot hapo Nyuma, Sasa angalau watu wana raha, furaha imerejea-Dkt Anthony Diallo
9. Hata mimi Nimeshughulikiwa kidogo, wakaniacha ila nimepata msukosuko-Anthony Diallo
10. katiba siyi ya Vyama ni ya wananchi kosa tulilofanya ni kugeuza katiba kuwa vyama na kuacha wananchi hata katika lile
bunge walitawala wananchi-Dk Anthony Diallo
11. Katiba siyo Tatizo , tatizo lipo kwa watu mnachagua Rais ambae hataki kufata katiba mtanfanya nini? Kwani katiba ya sasa ilikuwa inaruhusu mtu kuwekwa ndani bila utaratibu? Lakini yamefanyika-Anthony Mwandu Diallo
12. Rais Samia nimefanya nae kazi ni Rais makini na jasiri ni muumini wa utawala wa bora-Anthony Diallo
13. CCM tulijua haitashinda mwaka 2015 na wananchi wamegeuka wiki mbili tu baada ya kuamua hata kuunda makundi ya vijana kwenye maeneo mbali mbali waweke Star Tv ilibidi itumike nguvu
15. Kuna mambo hatukuweza kuyasema kwa sababu mfumo uliharibika kabisa. Tuliamua kunyamaza tuliamua ku play safe mode ili kesho uendelee kuishi na watoto wako.
View attachment 1849193
Amuulize nani na Yeye Alikuwepo? Mzee Anajua anachosemaKama hafamu huyu Mzee Dialo aulize Kilichomkuta aliyewahi Kusema "CCM imepoteza uelekeo"