Ukiona hivyo elewa wanamwelewa na kumkubali, bali unafiki na uzandiki wao ndiyo unasababisha wajifanye hawamkubali. Ni Kama mafarisayo na masadukayo wa enzi za Yesu.Huyu Tundu Lissu sijui ndiye aliyewatoa usichana wenu maana kila anayekurupuka kutoka usingizini lazima amuanzishie uzi.View attachment 1848203
Njia ya kwenda Milembe muoneshane huko huko vichaa sisi wenye Akili hatuwahitaji viongozi Matahira kama kama hilo la kuzimu.Ni bora rais mwenye file mirembe anayeonesha njia kuliko wewe mwenye file muhimbili usiye na mbele wala nyuma
Yaani kweli hata mie mara nyingi, najiuliza kwanini ziara za viongozi za shughuli za kiserikali,huwa inakuwa kama ya kichama zaidi, badala ya kuvutia wananchi wote bila kugubikwa na regalia za chama tawala ...sasa vyama vingine navyo vikitia timu na mavazi yao,Wala hata Sio Chuma...Hivi kweli yaani anataka Ziara ya Rais Kaenda Uwanja wa Ndege,Au Kukagua Reli au Kazi fulani na CCM waende?
Acheni hizo bana!..
Watakipata wanachokitafuta.Salam wakuu;
Katika hali ya kushangaza, jana niliona mahojiano kati ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza na mtangazaji Alyce Nyanda...
Yes..tutataka kumsikia mwenyekiti wa taifa wa ccm kwenye hizi kauli za mwenyekiti wa ccm mkoa wa mwanza. Diallo amemponda vikali mtangulizi wake.Salam wakuu;
Katika hali ya kushangaza, jana niliona mahojiano kati ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza na mtangazaji Alyce Nyanda...
Salam wakuu;
Katika hali ya kushangaza, jana niliona mahojiano kati ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza na mtangazaji Alyce Nyanda...
Kesha enda huyo acha kutisha watu mtekaji mkuu analiwa na funza huko sembuse nyie viraka wake?Watakipata wanachokitafuta.
We ndio umemaliza kila kitu.Kwa ufupi ni kwamba Watanzania ni wanafiki
Hata huyo magu wenu hakuwa na ubavu wa kuchaguliwa na wananchi kwa asilimia hizo ndio maana nguvu ya dola ilikuwa kubwa sana .siku zote haramu haidumu ni mpumbavu tu anayeamini magu alichaguliwa kwa kura hizo waliosimamia uchaguz ndio wanaujua ukweli wa Mambo yote nyinyi wapiga zumali kaeni kwa kutulia tu ,ccm wote walipita kimagumashiYes..tutataka kumsikia mwenyekiti wa taifa wa ccm kwenye hizi kauli za mwenyekiti wa ccm mkoa wa mwanza. Diallo amemponda vikali mtangulizi wake. Sasa samia ajitokeze ama sivyo tutazidi kua na mashaka naye kama kweli tutaendelea na njia ya kimagufuli. Samia asijesahau yuko madarakani kwa kura asilimia 84.3 kauli ya wapiga kura ya ndio kwa magufuli.
Katumwa na Mimi!!!!??Maana kuna tetesi zinazagaa mitaani kuwa mzee Dialo ametumwa tu na WEWE ili kujaribu kuchafua image ya JPM kanda ya ziwa.
Mwendazake!
Katiba inasemaje mtu kuwa kiongozi akiwa na tatizo la "mental health" hata bila ya kuchambua "chochote kuhusu mental health"?Kwani kuwa na file mirembe ni kosa....
Unajua chochote kuhusu mental health?
Huyo mtu wako hata umpambe vipi, alikuwa ni mgonjwa, ndiyo sababu matendo yake mengi hayakuwa ya kutendwa na mtu mwenye afya ya akili.Kama kichaa aliyesemwa bila kutajwa jina ni yule mtu ambaye aliweza kufanya yale ambayo tawala nne za kabla yake zilitamani kuyafanya lakini zilishindwa miserably, basi kila nchi ya bara la Africa inahitaji vichaa wa aina hiyo kama watano tu hivi ili kulifanya bara la Africa lisimame kwa miguu yake na kuheshimika duniani! Huo ni ukichaa mzuri na wenye tija kubwa sana!