Nani anayetajwa na Mwenyekiti wa CCM Mwanza, Dkt. Diallo kwamba ana faili Hospitali ya Akili Milembe?

Nani anayetajwa na Mwenyekiti wa CCM Mwanza, Dkt. Diallo kwamba ana faili Hospitali ya Akili Milembe?

Ni bora rais mwenye file mirembe anayeonesha njia kuliko wewe mwenye file muhimbili usiye na mbele wala nyuma
Njia ya kwenda Milembe muoneshane huko huko vichaa sisi wenye Akili hatuwahitaji viongozi Matahira kama kama hilo la kuzimu.
 
Wala hata Sio Chuma...Hivi kweli yaani anataka Ziara ya Rais Kaenda Uwanja wa Ndege,Au Kukagua Reli au Kazi fulani na CCM waende?
Acheni hizo bana!..
Yaani kweli hata mie mara nyingi, najiuliza kwanini ziara za viongozi za shughuli za kiserikali,huwa inakuwa kama ya kichama zaidi, badala ya kuvutia wananchi wote bila kugubikwa na regalia za chama tawala ...sasa vyama vingine navyo vikitia timu na mavazi yao,

Si itakuwa fujo aiseee...ndo maana wananchi wengine huwa wanajisikia kukwazwa na kuishia kushindwa kuhudhuria shughuli au mikutano hiyo, manake mwisho wa siku wanajisikia kama vile si wahusika.

Nafikiri ingekuwa vyema zaidi, kama shughuli za mikutano ya kiserikali siku zote ziweke mazingira ya rafiki kwa wote badala ya kuonekana ni kama shughuli ya chama fulani......au nadanganya jamani... kazi iendelee.
 
Salam wakuu;
Katika hali ya kushangaza, jana niliona mahojiano kati ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza na mtangazaji Alyce Nyanda...
Yes..tutataka kumsikia mwenyekiti wa taifa wa ccm kwenye hizi kauli za mwenyekiti wa ccm mkoa wa mwanza. Diallo amemponda vikali mtangulizi wake.

Sasa samia ajitokeze ama sivyo tutazidi kua na mashaka naye kama kweli tutaendelea na njia ya kimagufuli. Samia asijesahau yuko madarakani kwa kura asilimia 84.3 kauli ya wapiga kura ya ndio kwa magufuli.
 
Salam wakuu;
Katika hali ya kushangaza, jana niliona mahojiano kati ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza na mtangazaji Alyce Nyanda...

Na wewe unaonekana una file mirembe Diallo ameongea ukweli. Nyanda kamuuliza mbona likuwa kimya kipindi cha awamu ya 5? Jibu ni kwamba mtu wenu wa mirembe aliwazuia kufanya siasa kwa kuvunja protokali.
 
Kwa waliomsikiliza Diallo naomba CCM msimsumbue tena mmpe nafasi chamani.

Mkijifanya mnalinda legacy mtakipasua chama.

Tofauti ni hii;

M/kiti taifa anamponda magu kwa vitendo.

M/kiti Mkoa mwanza amemponda direct with evidence.

Ushauri kwa CCM mjifanye kama limepita,pia muwashauri watoto wenu waache matamko yakulaani ukweli.
 
Yes..tutataka kumsikia mwenyekiti wa taifa wa ccm kwenye hizi kauli za mwenyekiti wa ccm mkoa wa mwanza. Diallo amemponda vikali mtangulizi wake. Sasa samia ajitokeze ama sivyo tutazidi kua na mashaka naye kama kweli tutaendelea na njia ya kimagufuli. Samia asijesahau yuko madarakani kwa kura asilimia 84.3 kauli ya wapiga kura ya ndio kwa magufuli.
Hata huyo magu wenu hakuwa na ubavu wa kuchaguliwa na wananchi kwa asilimia hizo ndio maana nguvu ya dola ilikuwa kubwa sana .siku zote haramu haidumu ni mpumbavu tu anayeamini magu alichaguliwa kwa kura hizo waliosimamia uchaguz ndio wanaujua ukweli wa Mambo yote nyinyi wapiga zumali kaeni kwa kutulia tu ,ccm wote walipita kimagumashi
 
Mwendazake!

Kama kichaa aliyesemwa bila kutajwa jina ni yule mtu ambaye aliweza kufanya yale ambayo tawala nne za kabla yake zilitamani kuyafanya lakini zilishindwa miserably, basi kila nchi ya bara la Africa inahitaji vichaa wa aina hiyo kama watano tu hivi ili kulifanya bara la Africa lisimame kwa miguu yake na kuheshimika duniani! Huo ni ukichaa mzuri na wenye tija kubwa sana!
 
Kama kichaa aliyesemwa bila kutajwa jina ni yule mtu ambaye aliweza kufanya yale ambayo tawala nne za kabla yake zilitamani kuyafanya lakini zilishindwa miserably, basi kila nchi ya bara la Africa inahitaji vichaa wa aina hiyo kama watano tu hivi ili kulifanya bara la Africa lisimame kwa miguu yake na kuheshimika duniani! Huo ni ukichaa mzuri na wenye tija kubwa sana!
Huyo mtu wako hata umpambe vipi, alikuwa ni mgonjwa, ndiyo sababu matendo yake mengi hayakuwa ya kutendwa na mtu mwenye afya ya akili.
Yaani hadi kajiachia mwenyewe hadi corona ikamchukua, kwa sababu ya tatizo la ugonjwa wake tu wa akili? Wewe bado unasifu hilo.

Watu waliopoteza maisha yao kwa maamuzi yake yaliyosababishwa na ugonjwa wake, wewe bado unaimba sifa tu!

Inawezekana nawe ukawa ni mtu wa mirembe! Wahi huko kungali mapema.
 
Back
Top Bottom