Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji23]Muacheni marehem apumzike
Nimemsikia jana nikamshangaa, yule atamalizana na CCM mwakani,Binadamu unapoongea lazima uwe na kiasi. Lazima upime hicho unachoongea kitakusaidia nini katika hustle zako ama kitakughalimu nini katika mahusiano yako na watu wengine.
Dialo kateleza, matamshi yake yaweza kuwa na negative impacts kwake hasa mahusiano yake na chama chake. Sidhani kama atapata uenyeki wa chama pindi muhula wake ukiisha. Kaanzisha mgogoro usiokuwa na faida yoyote kwake.
Mark my words.
Labda huyu hapa?Bado najiuliza huyo mwanasiasa aliyetajwa na Dr Anthony Diallo kwamba alikuwa na jarada hospitali ya Mirembe ni nani?
Na kwanini mifumo ilimruhusu kugombea?
Je, ni TAL wa Chadema?
Nawasalimu kwa jina la JMT!
ndio ushangae sasa kuhusu uwepo wa Sukuma Gang.Dah Jiwe hatarii kama msukuma mwenzake alimtesa hivije mtu baki? Ilibidi tu achukuliww faster kulinusuru taifa
Safi sana..., asingepigwa ila angeambiwa aondoke na kusimama na wengine huko....., Haya mambo ya kugeuza shughuli za nchi kama vikao vya chama hawa jamaa wapigwe tu..., hakuna namna, ili huu ushamba uishe.... (Eti Viongozi wa CCM)5. Kuna kisa kimoja kiongozi wa CCM mkoa wakati flani tumeenda kumpokea Rais alipigiwa kiwako akadondondoka ,awamu ya Tano ilikuwa inazuia viongozi wa CCM hata kuingia uwanja wa ndege wanaelezwa kubaki nje -Antony Diallo Mwenyekiti wa CCm
Mtafute kwanza Ben Saanane.Hebu tunaomba video moja ya Dialo akiongea mbele ya Mwendazake au hata mazungumzo yake siku ya msiba
Sawa ninapokwenda huko wewe mwenzangu uwe unantafuta Jah PeopleMtafute kwanza Ben Saanane.
Siungi mkono alichofanyiwa ila si mtu safi kihivyo nadhani pia awe amejifunza kuwa mwema kwani aliwafanyia watu wengi mabaya na waliumia kama yeye na walikuwa na watoto kama yeye ila hawakuwa na kituo cha Tv kuongelea alivyowaumiza na hata kupelekea wengine kufa kwa sononaNgosha Diallo ni chuma