Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Acha unafiki!Kiwango chako cha unafiki ni kama umelaaniwa,unahitaji PhD kujua kuwa ni Magufuli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani kweli hata mie mara nyingi, najiuliza kwanini ziara za viongozi za shughuli za kiserikali,huwa inakuwa kama ya kichama zaidi, badala ya kuvutia wananchi wote bila kugubikwa na regalia za chama tawala ...sasa vyama vingine navyo vikitia timu na mavazi yao,
Si itakuwa fujo aiseee...ndo maana wananchi wengine huwa wanajisikia kukwazwa na kuishia kushindwa kuhudhuria shughuli au mikutano hiyo, manake mwisho wa siku wanajisikia kama vile si wahusika.
Nafikiri ingekuwa vyema zaidi, kama shughuli za mikutano ya kiserikali siku zote ziweke mazingira ya rafiki kwa wote badala ya kuonekana ni kama shughuli ya chama fulani......au nadanganya jamani... kazi iendelee.
Ni kosa kwa sababu sheria inasema kuwa mgombea asiwe na tatizo lolote la afya.Kwani kuwa na file mirembe ni kosa....
Unajua chochote kuhusu mental health?
Wewe nawe utakuwa na file kule mahala,, si bure[emoji23]Kuna watu walizoea sana maisha ya ujanja ujanja na wizi wizi...Yule jamaa aliwapiga pin sana lazima wamchukie tu....Watanzani mlitaka rais mkali na dictator mnaanza kulia kulia..
Hii nchi usipokuwa mgumu kama JPM mambo meeengi lazima yakugomee kuanzia kwenye uchumi, siasa, utamaduni na kila mahala..Lile Jamaa lilikuwa na maamuzi haijalishi mabaya au mazuri wakati wengine hiyo kuamua tu ni shida.
Dola lazima iogopwe na iheshiwe na watu wote, JPM aliipa dola heshima na michezo ya kipumbavu dhidi ya dola ikafa au kupungua....Watu kama Manji, Mo hawa waarabu na wahindi walikuwa wakiichezea hii nchi watakavyo na mpaka kuidharau dola wao na wajukuu zao..
JPM pamoja na mambo yake ambayo inaonekana wengine walikereka lakini alikuwa ni Rais aliyepaswa kuiongoza hii nchi kwa miaka zaidi ya 20....Kuteka, kuua ni moja pia ya kazi ya dola kwa wajinga wote wanaoweza kuhatarisha uhai na misingi ya nchi gizani huku mbele ya wananchi wanajiita wema...tutambue ni serikali pekee dunia inayoweza kujua mipango ya gizani ya kila raia wake..
RIP JPM.....tulitofautiana mitazamo kwenye mambo fulani lakini yapo mengi pia uliifanyia hii nchi na kufundisha watu hii nchi inataka kiongozi aina gani..
Katika hali ya halisi ukiambiwa umechafua hali ya hewa ina maana umejamba. Kisiasa itakua umeongea jambo la kuwaudhi watu wengi kwenye siasa.
Wenye kumbukumbu watakumbuka enzi ya awamu ya nne iliyokuwa na kashfa nyingi za ufisadi hadi rushwa kuonekana kama ndio njia sahihi kufanikisha kila jambo Anton Dialo alistaajabisha watu kwa tukio moja. Enzi za awamu ya nne ilisemekana alimshitaki waziri wa maliasili enzi hizo kwa JK kwa kutoweza kumpa kitalu cha uwindaji baada ya kumpa dola za kimarekani kiasi fulani. Kuonesha jinsi rushwa ilikua kitu cha kawaida kwa wakubwa kufuatana na Dialo JK alimuamuru waziri huyo kumrudishia Dialo hela zake. Hakuna ushahidi kama JK aliwachukulia hatua yoyote vigogo hao.
Huyo Dialo enzi hiyo ya awamu ya nne alijilimbikizia vyeti feki hadi vya Phd huku kuna shaka ya yeye kufika japo kidato cha nne. Kuna mwandishi mmoja aliandika kitabu kuwaorodhesha watu mashuhuri wenye vyeti feki ambapo Anton Dialo ni mmoja wapo.
Kutokana na hila na kujilimbikizia sifa za uongo Anton Dialo ambaye pia ni mfanya biashara mkubwa akaweza kufikia kua naibu waziri.
Kwa ukweli kauli zake za kinafiki dhidi ya magufuli zimewaudhi wengi. Huyu ni mmojawapo ya watu wamekua wanasitiriwa ndani ya ccm kwa sababu ni mmoja ya wale waliyoigeuza ccm kama kampuni yao binafsi enzi za awamu wa nne.
Umenifilisi braza,huyu mtu huyu! Basi tu!Mafunguo ya chooni huyo
Safi sana! Na kwa taarifa, huyu mwamba kawaamsha wengi akili muda utasema tu!Kuna watu walizoea sana maisha ya ujanja ujanja na wizi wizi...Yule jamaa aliwapiga pin sana lazima wamchukie tu....Watanzani mlitaka rais mkali na dictator mnaanza kulia kulia..
Hii nchi usipokuwa mgumu kama JPM mambo meeengi lazima yakugomee kuanzia kwenye uchumi, siasa, utamaduni na kila mahala..Lile Jamaa lilikuwa na maamuzi haijalishi mabaya au mazuri wakati wengine hiyo kuamua tu ni shida.
Dola lazima iogopwe na iheshiwe na watu wote, JPM aliipa dola heshima na michezo ya kipumbavu dhidi ya dola ikafa au kupungua....Watu kama Manji, Mo hawa waarabu na wahindi walikuwa wakiichezea hii nchi watakavyo na mpaka kuidharau dola wao na wajukuu zao..
JPM pamoja na mambo yake ambayo inaonekana wengine walikereka lakini alikuwa ni Rais aliyepaswa kuiongoza hii nchi kwa miaka zaidi ya 20....Kuteka, kuua ni moja pia ya kazi ya dola kwa wajinga wote wanaoweza kuhatarisha uhai na misingi ya nchi gizani huku mbele ya wananchi wanajiita wema...tutambue ni serikali pekee dunia inayoweza kujua mipango ya gizani ya kila raia wake..
RIP JPM.....tulitofautiana mitazamo kwenye mambo fulani lakini yapo mengi pia uliifanyia hii nchi na kufundisha watu hii nchi inataka kiongozi aina gani..
Unakosoa nini halafu unaandika nini?Huyo Diallo hiyo analysis ya kushindwa uchaguzi alitumia factors zipi maana kama maoni hata mimi, wewe na yule ana yake..
JPM 2015 ndiye alikuwa game changer wa CCM, CCM walikuwa hawana namna zaidi ya kumsimamisha JPM ambaye wananchi tuliowengi wakati ule tulikuwa na imani naye na tuliamini ni mwaminifu, mchapakazi, na sio mpigaji kama hao akina Diallo wanao lialia..
2015 CCM walishinda kihalali kabisa na hii ilisababishwa na mtazamo mpya tuliokuwa nao dhidi ya Magafuri...CDM kumsimamisha EL nao lilikuwa kaa la moto kwao na advantage kwa CCM...
Nimecheka sana wallah! Pombe itabaki kuwa Pombe tuu.
Rest in hell Jpm for the wrongs you did to Tz.
Dialo alikuwa jikoni we ulikuwa mtaaniHuyo Diallo hiyo analysis ya kushindwa uchaguzi alitumia factors zipi maana kama maoni hata mimi, wewe na yule ana yake..
JPM 2015 ndiye alikuwa game changer wa CCM, CCM walikuwa hawana namna zaidi ya kumsimamisha JPM ambaye wananchi tulio wengi wakati ule tulikuwa na imani naye na tuliamini ni mwaminifu, mchapakazi na sio mpigaji kama hao akina Diallo wanao lialia..
2015 CCM walishinda kihalali kabisa na hii ilisababishwa na mtazamo mpya tuliokuwa nao dhidi ya Magafuli... CHADEMA kumsimamisha EL nao lilikuwa kaa la moto kwao na advantage kwa CCM...
But si kaongea ukweli?hawa ndio wale waliokuwa mchana wanakula CCM halafu usiku wanalala Chadema
Bugando wanaita "C 1" .Sijui muhimbili wanapaitaJe ?!Mirembe ni hospitali km zilivyo nyingine na inatibu magonjwa mbalimbali,sema ndani yake kuna kitengo maalumu cha magonjwa ya akili,
Angesema ili auawe?Hivi yule mjomba wenu alikuwa anakubali kuambiwa ukweli?Let him rot in hell!😝😝😝😝Huyo ni muathilika,
Kama ni jasiri angesema kipindi jiwe yupo hai.
Hana jipya!!!!!!!!!!!