Nani atakuwa wa kwanza Kufa kwenye familia yenu na atakayefuatia ni nani?

Nani atakuwa wa kwanza Kufa kwenye familia yenu na atakayefuatia ni nani?

Watu kimya na nyuzi za kufa kufa[emoji848][emoji848]
Kama Ni elimu y kiroho basi Kuna kuendana na uhalisia.

Wengi wetu tunaogopa Sana tukiskia kifo,Ila sijui Ni hali ipi inayofanya tuogope.
Tatizo mtoa mada anabeti hiyo ...hivyo anatumia kalamu yake kututisha Toka Jana .
 
: sio lazima upost kila siku, jipe muda wa likizo kidogo ufanye utafiti mzuri utuletee madini matupu na sio kutuletea ramli kurupushi kama hii ya leo
emoji847.png
emoji847.png
Ushauri mzuri Sana huu ila watu wabishi watabisha tu...
 
NANI ATAKUWA WA KWANZA KUFA KWENYE FAMILIA YENU NA ATAKAYEFUATIA?

Anaandika, Robert Heriel
Yule Mtibeli.

Andiko hili linaweza kuwa nadharia tuu, inaweza kuwa kweli au kuukaribia ukweli.

Taikon aliandika andiko hili miaka ya nyuma kidogo na hivi leo nitagusia machache.

Nani atakuwa wa kwanza kufa kwenye familia yenu hili laweza kuwa swali gumu, lakini atakayefuata kufa baada ya kifo cha wakwanza linaweza likawa swali rahisi.

1. Ikiwa mzaliwa wa kwanza wakike atatangulia kufa, basi atakayemfuatia kufa atakuwa Baba. uwezekano huu ni mkubwa sana.

2. Ikiwa mzaliwa wa kwanza wa kiume atatangulia kufa, basi atakayefuatia kufa atakuwa Mama

3. Ikiwa Mama atatangulia kufa, basi upo uwezekano mkubwa wa atakayefuatia ni Baba kisha mtoto wa mwisho atafuatia ingawaje ni kama nadra.

4. Ikiwa Baba atatangulia kufa, basi atafuatia mtoto au watoto kadhaa ndipo afe Mama.

5. Ikiwa mtoto wa katikati atakufa basi itachukua miaka mingi mtu wa pili kufa atakayemfuata na mara nyingi huwa ni Baba.

6. Ikiwa mtoto wa mwisho atatangulia kufa, Basi kuna uwezekano mkubwa atakayefuatia.

7. Ikiwa mtoto wa pili kati ya wengi atatangulia kufa baada ya Baba kufariki, basi upo uwezekano akafuatia mama, kisha mtoto wa tatu, Inatarajiwa watoto wa kiume wa hii familia mmoja wapo akawa wa mwisho na ndiye atafunga dimba

Kikawaida anatakiwa Atangulie kufa Baba, kisha afuate Mama, kisha watoto wa kwanza wakiume, inatarajiwa watoto wa kike wawe wa mwisho kufa.

ikiwa kwenu tayari katangulia wa kwanza kufa basi kwa mada hii atakayefuata anafahamika.

karibuni
TAIKON umeniogopesha bro , namba 3 hapo

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo hapo hakuna cha Maradhi,Ajali wala nn...Yaani ni kufa tu! Hii Nadharia ikiingia kwenye Jamii Watu watawatanguliza wenzao ili wabaki...
 
Back
Top Bottom