Nani atakuwa wa kwanza Kufa kwenye familia yenu na atakayefuatia ni nani?

1.Alianza Maza
2.Akafata kaka yangu kipenzi chake

Maza 10 April, Kaka end of April same month.

Its been 20 years since they passed bado tupo tu 3 musketeers. Mzee atakamilisha 70 next year inshaallah.

Hio nadharia sioni kama ina ukweli...itabaki kuwa nadharia tu.
 
Suala hili halina fomula wala protokali , kufa kunategemea na vitu vingi sana especially kwenye familia zetu za kiafrika ambazo zimegubikwa na umasikini pamoja na ndumba,

msitishane Mtoa uhai ni Mungu pekee kuna ambao na albadiri walisomewa wafe lakini wanadunda kama afande sele
 
1.Alianza Maza
2.Akafata kaka yangu kipenzi chake

Maza 10 April, Kaka end of April same month.

Its been 20 years since they passed bado tupo tu 3 musketeers. Mzee atakamilisha 70 next year inshaallah.

Hio nadharia sioni kama ina ukweli...itabaki kuwa nadharia tu.
In sha Allah .... Mungu ampe Baba siku nyingi zaidi za kuishi
 
NANI ATAKUWA WA KWANZA KUFA KWENYE FAMILIA YENU NA ATAKAYEFUATIA?

Anaandika, Robert Heriel
Yule Mtibeli.

Andiko hili linaweza kuwa nadharia tuu, inaweza kuwa kweli au kuukaribia ukweli. Taikon aliandika andiko hili miaka ya nyuma kidogo na hivi leo nitagusia machache.

Nani atakuwa wa kwanza kufa kwenye familia yenu hili laweza kuwa swali gumu, lakini atakayefuata kufa baada ya kifo cha wakwanza linaweza likawa swali rahisi.

1. Ikiwa mzaliwa wa kwanza wakike atatangulia kufa, basi atakayemfuatia kufa atakuwa Baba. uwezekano huu ni mkubwa sana.
2. Ikiwa mzaliwa wa kwanza wa kiume atatangulia kufa, basi atakayefuatia kufa atakuwa Mama
3. Ikiwa Mama atatangulia kufa, basi upo uwezekano mkubwa wa atakayefuatia ni Baba kisha mtoto wa mwisho atafuatia ingawaje ni kama nadra.
4. Ikiwa Baba atatangulia kufa, basi atafuatia mtoto au watoto kadhaa ndipo afe Mama.
5. Ikiwa mtoto wa katikati atakufa basi itachukua miaka mingi mtu wa pili kufa atakayemfuata na mara nyingi huwa ni Baba.
6. Ikiwa mtoto wa mwisho atatangulia kufa, Basi kuna uwezekano mkubwa atakayefuatia.

7. Ikiwa mtoto wa pili kati ya wengi atatangulia kufa baada ya Baba kufariki, basi upo uwezekano akafuatia mama, kisha mtoto wa tatu, Inatarajiwa watoto wa kiume wa hii familia mmoja wapo akawa wa mwisho na ndiye atafunga dimba

Kikawaida anatakiwa Atangulie kufa Baba, kisha afuate Mama, kisha watoto wa kwanza wakiume, inatarajiwa watoto wa kike wawe wa mwisho kufa.

ikiwa kwenu tayari katangulia wa kwanza kufa basi kwa mada hii atakayefuata anafahamika.

karibuni
Duh mkuu point yako ya Kwanza kama ina ukweli vile
 
1.Alianza Maza
2.Akafata kaka yangu kipenzi chake

Maza 10 April, Kaka end of April same month.

Its been 20 years since they passed bado tupo tu 3 musketeers. Mzee atakamilisha 70 next year inshaallah.

Hio nadharia sioni kama ina ukweli...itabaki kuwa nadharia tu.

Asee Pole sana Mkuu
 
NANI ATAKUWA WA KWANZA KUFA KWENYE FAMILIA YENU NA ATAKAYEFUATIA?

Anaandika, Robert Heriel
Yule Mtibeli.

Andiko hili linaweza kuwa nadharia tuu, inaweza kuwa kweli au kuukaribia ukweli. Taikon aliandika andiko hili miaka ya nyuma kidogo na hivi leo nitagusia machache.

Nani atakuwa wa kwanza kufa kwenye familia yenu hili laweza kuwa swali gumu, lakini atakayefuata kufa baada ya kifo cha wakwanza linaweza likawa swali rahisi.

1. Ikiwa mzaliwa wa kwanza wakike atatangulia kufa, basi atakayemfuatia kufa atakuwa Baba. uwezekano huu ni mkubwa sana.
2. Ikiwa mzaliwa wa kwanza wa kiume atatangulia kufa, basi atakayefuatia kufa atakuwa Mama
3. Ikiwa Mama atatangulia kufa, basi upo uwezekano mkubwa wa atakayefuatia ni Baba kisha mtoto wa mwisho atafuatia ingawaje ni kama nadra.
4. Ikiwa Baba atatangulia kufa, basi atafuatia mtoto au watoto kadhaa ndipo afe Mama.
5. Ikiwa mtoto wa katikati atakufa basi itachukua miaka mingi mtu wa pili kufa atakayemfuata na mara nyingi huwa ni Baba.
6. Ikiwa mtoto wa mwisho atatangulia kufa, Basi kuna uwezekano mkubwa atakayefuatia.

7. Ikiwa mtoto wa pili kati ya wengi atatangulia kufa baada ya Baba kufariki, basi upo uwezekano akafuatia mama, kisha mtoto wa tatu, Inatarajiwa watoto wa kiume wa hii familia mmoja wapo akawa wa mwisho na ndiye atafunga dimba

Kikawaida anatakiwa Atangulie kufa Baba, kisha afuate Mama, kisha watoto wa kwanza wakiume, inatarajiwa watoto wa kike wawe wa mwisho kufa.

ikiwa kwenu tayari katangulia wa kwanza kufa basi kwa mada hii atakayefuata anafahamika.

karibuni
Kufa ni lazima,kwa hiyo uwe wa kwanza kufa au wa mwisho lkn kufa ni kufa tu.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Nilichopenda mwandishi kafunguka safi na salama kwamba ni nadharia .

Namimi niendelee kusisitiza kuwa ni NADHARIA

Kifo ni fumbo.
 
Moderators kuna haja ya kuingilia Kati na kuzuia nyuzi zenye dalili ya kuleta mtafaruku kama hizi.

Amemaliza kirahisi Sana na kimasihara mno hapo ktk para ya mwisho bila kujali wangapi wanaweza kustuka na kuumia humu.

Kwa uchache Tu, turejee post #19 hapo juu.

Jamani, maisha yametupiga na yanatupiga Sana huku mtaani.....tozo, upandaji WA bei WA kila kitu zikiwemo nauli huku vipato vikibaki pale pale, kukimbiwa na wake, kukashifiwa kuwa hatuwezi shoo (km ule Uzi WA Jana), makelele ya mbowe n.k.

Kuyakabili hayo, wengi wetu hujikuta humu kila mara Kwa ajili ya kujifunza mambo yatakayotupa moyo na matumaini pamoja na kuburidika.

Sasa hali inakuwa tafrani namna gani ukikutana na nyuzi km hii. Wengine wametoka kufiwa Jana, wengine Leo na wengine wapo mazishini wanaposoma post hii.

Na hao wanaweza kuwa yeyote katika waliotajwa na mleta mada kuwa wanafuata Kwa kufa.

Hatari hii msifanye hivi jamani!!
 
Ila huyu jamaa ni Kati watu wanaoandika dana madini jf miaka ya nyuma nilikuwa kwenye group lake la wasap bahati mbaya kwasasa sipo mkuu weka namba uniunge.
 
Back
Top Bottom