Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Kufa ni Kufa tu, ni lazima tufe ili wengine wazaliwe, haliepukiki hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona kama mawazo ya kimasikini,japo ulishawahi leta uzi wa kimasikini
Uchuro
Chupli - Chupli ..... Chai nyingi bila Majani...Uongo mtupu nimefanya reference kwa Familia yetu
Babu mzaa baba
Babu mzaa mama
Majirani
Familia kadhaa
Uongo.uongo
In sha Allah .... Mungu ampe Baba siku nyingi zaidi za kuishi1.Alianza Maza
2.Akafata kaka yangu kipenzi chake
Maza 10 April, Kaka end of April same month.
Its been 20 years since they passed bado tupo tu 3 musketeers. Mzee atakamilisha 70 next year inshaallah.
Hio nadharia sioni kama ina ukweli...itabaki kuwa nadharia tu.
Duh mkuu point yako ya Kwanza kama ina ukweli vileNANI ATAKUWA WA KWANZA KUFA KWENYE FAMILIA YENU NA ATAKAYEFUATIA?
Anaandika, Robert Heriel
Yule Mtibeli.
Andiko hili linaweza kuwa nadharia tuu, inaweza kuwa kweli au kuukaribia ukweli. Taikon aliandika andiko hili miaka ya nyuma kidogo na hivi leo nitagusia machache.
Nani atakuwa wa kwanza kufa kwenye familia yenu hili laweza kuwa swali gumu, lakini atakayefuata kufa baada ya kifo cha wakwanza linaweza likawa swali rahisi.
1. Ikiwa mzaliwa wa kwanza wakike atatangulia kufa, basi atakayemfuatia kufa atakuwa Baba. uwezekano huu ni mkubwa sana.
2. Ikiwa mzaliwa wa kwanza wa kiume atatangulia kufa, basi atakayefuatia kufa atakuwa Mama
3. Ikiwa Mama atatangulia kufa, basi upo uwezekano mkubwa wa atakayefuatia ni Baba kisha mtoto wa mwisho atafuatia ingawaje ni kama nadra.
4. Ikiwa Baba atatangulia kufa, basi atafuatia mtoto au watoto kadhaa ndipo afe Mama.
5. Ikiwa mtoto wa katikati atakufa basi itachukua miaka mingi mtu wa pili kufa atakayemfuata na mara nyingi huwa ni Baba.
6. Ikiwa mtoto wa mwisho atatangulia kufa, Basi kuna uwezekano mkubwa atakayefuatia.
7. Ikiwa mtoto wa pili kati ya wengi atatangulia kufa baada ya Baba kufariki, basi upo uwezekano akafuatia mama, kisha mtoto wa tatu, Inatarajiwa watoto wa kiume wa hii familia mmoja wapo akawa wa mwisho na ndiye atafunga dimba
Kikawaida anatakiwa Atangulie kufa Baba, kisha afuate Mama, kisha watoto wa kwanza wakiume, inatarajiwa watoto wa kike wawe wa mwisho kufa.
ikiwa kwenu tayari katangulia wa kwanza kufa basi kwa mada hii atakayefuata anafahamika.
karibuni
Duh mkuu point yako ya Kwanza kama ina ukweli vile
Familia yetu imetokea hivyo.Hii ni nadharia tuu kulingana na niliyoyaona kwa baadhi ya familia. Ingawaje inaweza isiwe applicable kwa familia zote
1.Alianza Maza
2.Akafata kaka yangu kipenzi chake
Maza 10 April, Kaka end of April same month.
Its been 20 years since they passed bado tupo tu 3 musketeers. Mzee atakamilisha 70 next year inshaallah.
Hio nadharia sioni kama ina ukweli...itabaki kuwa nadharia tu.
Familia yetu imetokea hivyo.
Point ya 6 hujamalizia.
Kufa ni lazima,kwa hiyo uwe wa kwanza kufa au wa mwisho lkn kufa ni kufa tu.NANI ATAKUWA WA KWANZA KUFA KWENYE FAMILIA YENU NA ATAKAYEFUATIA?
Anaandika, Robert Heriel
Yule Mtibeli.
Andiko hili linaweza kuwa nadharia tuu, inaweza kuwa kweli au kuukaribia ukweli. Taikon aliandika andiko hili miaka ya nyuma kidogo na hivi leo nitagusia machache.
Nani atakuwa wa kwanza kufa kwenye familia yenu hili laweza kuwa swali gumu, lakini atakayefuata kufa baada ya kifo cha wakwanza linaweza likawa swali rahisi.
1. Ikiwa mzaliwa wa kwanza wakike atatangulia kufa, basi atakayemfuatia kufa atakuwa Baba. uwezekano huu ni mkubwa sana.
2. Ikiwa mzaliwa wa kwanza wa kiume atatangulia kufa, basi atakayefuatia kufa atakuwa Mama
3. Ikiwa Mama atatangulia kufa, basi upo uwezekano mkubwa wa atakayefuatia ni Baba kisha mtoto wa mwisho atafuatia ingawaje ni kama nadra.
4. Ikiwa Baba atatangulia kufa, basi atafuatia mtoto au watoto kadhaa ndipo afe Mama.
5. Ikiwa mtoto wa katikati atakufa basi itachukua miaka mingi mtu wa pili kufa atakayemfuata na mara nyingi huwa ni Baba.
6. Ikiwa mtoto wa mwisho atatangulia kufa, Basi kuna uwezekano mkubwa atakayefuatia.
7. Ikiwa mtoto wa pili kati ya wengi atatangulia kufa baada ya Baba kufariki, basi upo uwezekano akafuatia mama, kisha mtoto wa tatu, Inatarajiwa watoto wa kiume wa hii familia mmoja wapo akawa wa mwisho na ndiye atafunga dimba
Kikawaida anatakiwa Atangulie kufa Baba, kisha afuate Mama, kisha watoto wa kwanza wakiume, inatarajiwa watoto wa kike wawe wa mwisho kufa.
ikiwa kwenu tayari katangulia wa kwanza kufa basi kwa mada hii atakayefuata anafahamika.
karibuni
Amen mkuuIn sha Allah .... Mungu ampe Baba siku nyingi zaidi za kuishi