Nani atakuwa wa kwanza Kufa kwenye familia yenu na atakayefuatia ni nani?

Watu kimya na nyuzi za kufa kufa[emoji848][emoji848]
Kama Ni elimu y kiroho basi Kuna kuendana na uhalisia.

Wengi wetu tunaogopa Sana tukiskia kifo,Ila sijui Ni hali ipi inayofanya tuogope.
Tatizo mtoa mada anabeti hiyo ...hivyo anatumia kalamu yake kututisha Toka Jana .
 
: sio lazima upost kila siku, jipe muda wa likizo kidogo ufanye utafiti mzuri utuletee madini matupu na sio kutuletea ramli kurupushi kama hii ya leo
Ushauri mzuri Sana huu ila watu wabishi watabisha tu...
 
TAIKON umeniogopesha bro , namba 3 hapo

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo hapo hakuna cha Maradhi,Ajali wala nn...Yaani ni kufa tu! Hii Nadharia ikiingia kwenye Jamii Watu watawatanguliza wenzao ili wabaki...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…