Nani Atamwokoa Tundu Lissu, Mwanaume Anayeota Tanzania Tofauti?

Wabongo sie ni paralysed sick people. Yanayoendelea hatuyataki lakini kuchukua hatua hatutaki
 
Sahau..hilo jukumu anza kusikia unalo wewe, achana na misamiati ya kinafiki..uzalendo ndio nini! Ishi kwa vitendo.
 
Mambo ni mengi huko Duniani
 
Explain more kaka
Kwenye family zetu nyingi tunaishi kwa mazoea..kosa lolote ndani ya family linachukuliwa kirahisi, ukianza na wazazi..mtoto hafanyi vzr shuleni, ni kawaida tu..kijana anatunga mimba binti za watu ni kawaida tu, mwanafunzi mdogo halali nyumban ni kawaida tu..hatuna utamaduni wa kuchukua hatua kuondoa dosari inapotokea..ila tunapenda mashindano bila kujali aina ya kushindana..hasa kwenye mambo ya ziada ambayo si ya lazima..mavazi, arusi, vitu vdg vdg nk haya yanajenga tabia ya kutojali jambo lolote..liwe kubwa dogo, t doesn't matter..kdg mambo ya imani ndio yanapewa uzito kulingana na nature ya jambo lenyewe si yote..mfano hatuchukii uovu kulingana na imani..kusema uongo, zinaa, wizi, mavazi nk..
 
Jibu la kichwa cha mada, bila kuoteza muda na blabla za humo ndani.
WaTanzania wenyewe, ndilo jibu.
 
Waliomkinga na kifo ulichokitaja ni JW na Tiss..? Mimba ikitimiza muda wa kujifungua siku ikifika hakuna binadamu anaweza zuia mtoto asitoke..
Kuna watu humu JF hawawezi kuelewa ulicho andika.
Na hao hao ndio watakaokuwa wa kwanza kujisifu kwa kuhimiza ujasiri wa waTanzania.
 
Mama karudi toka comoro!?.. karudi kimyakimya au tumearifiwa?..kama kimyakimya,vipi ule mpango wa comoro uliodai umeanza kazi nini!?
 
Mungu Isaidie Tanzania, Mungu msaidie Tundu Lissu🙏
Kama ni mungu wa dunia hii ni sawa. Lakini kama ni Mungu yule muumba wa mbingu na nchi, nakuhakikishia hawezi kusaidia mashoga. Mnatukuza na kushangilia abomination of desolation halafu mnataka Mungu awasaidie? Mungu hafanyi ujinga wa hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…