Nani Atamwokoa Tundu Lissu, Mwanaume Anayeota Tanzania Tofauti?

Mungu atamuokoa kwani njama za freeman Mbowe ni kutaka Afie jela ili arejee chadema kama Lipumba alivyorejea cuf kwa njia haramu za kishetani, Tokea Lisu aende jela mbowe kawa Tajiri mkubwa kwa uuzaji G55 na wanachadema wengine kwenda ccm ya Amos makala kisha yeye makala kuwasokomeza Chauma ubwabwa chama chawaccm chama chuna Buzi ccm kwani ccm inakigharamia hadi njiti za kutolea uchafu mdomoni, uwepo wa Tundu lisu jela ni mradi ni dili ni fursa ya chawaccm kupiga pesa ni biashara haramu ya kishetani
 
Kama ni mungu wa dunia hii ni sawa. Lakini kama ni Mungu yule muumba wa mbingu na nchi, nakuhakikishia hawezi kusaidia mashoga. Mnatukuza na kushangilia abomination of desolation halafu mnataka Mungu awasaidie? Mungu hafanyi ujinga wa hivyo.
Mungu husaidia utekaji?
Mungu husaidia mauaji?
Mungu husaidia kubambika kesi?
Mungu husaidia ufisadi?
 
Vitisho juu ya uhai wa wananchi wanodai reforms ni vingi na hatari! Free Lissu tafadhali nyie ccm , hamna hoja mpaka mnaamua kutumia ubabe!
Wapo wanufaika wa uwepo wa Lisu jela na mnufaika mkuu ni Mbowe na Amos makala kwani tokea lisu awe ndani wamepiga pesa nyingi kwenye kuudhofisha chadema ikiwemo kuwahamishia G55 kwenda Chaumaccm kwa njia haramu za kishetani
 
Mdomo wake ndiyo utamuokoa
Asante sana,
Ni swala linatia simanzi sana.ila mdomo uliponza kichwa.
Hilo ni wahusika tu wanajua nani atamwokoa.
Si tupige story tu za ugali nyama maharage.
Tukigeuka Simba , Yanga wako wapi basi
 
Mdomo wake ndiyo utamuokoa
Mmmmh kuna kitu nahisi umemfanya Mumeo.

Kwa kauli hii ukiwa una mume ni bahati sana ,Labda ulikuwa nae ukamshughulikia na hayupo

Kauli yako uliyoandika inabeba mambo mengi sana kwenye ulimwengu wa roho ,Unaweza wewe mwenyewe usiielewe kabisa

Kwa maneno jinsi ulivyoandika moja kwa moja inatoa tafsiri kuwa wewe ni Jimama na sio kabinti
Watu wa staili kama yako wengi ni Single mothers Hawana waume

Naona una kinyongo kikubwa sana moyoni mwako kwa kauli hii ,Je mume wako yupo? Na kama yupo unaishi nae?

Wewe ni mtu usiyefaa mbele ya mwanaume yeyote yule
Umebeba roho ya hovyo sana na ya kutisha sana
Lakini unaweza ukajikana na ukabadilika kabisa,Pole sana
 
Duniani kote wanajua Lisu anaonewa ananyanyaswa na chadema inadhoofishwa kwa gharama kubwa pesa za walipa kodi , pesa inayotumika kuwahujumu chadema ni kubwa sana na endapo hizo pesa zingekuwa zinatumika kuleta maendeleo Tanzania mda huu Nchi ingekuwa mbali sana na ccm ingependwa ingejiuza yenyewe kusingekuwa na wizi wa kura kuwabambikia chadema kesi za uongo kuwateka kuwaua na mambo mengi haramu ya kishetani, Tatizo kubwa kwa sasa ni Mbowe na Amos makala kugeuza Dili fursa za kupiga mabilioni lwepo wa lisu jela ni mradi mkubwa kwa Bashungwa, IGP na akina mbowe na makala kwani tokea aende jela wamevuna pesa nyingi ikiwemo uuzaji wa G55 toka kwa mbowe kuelekezwa chauma ubwabwa na kula 10% kila cent inayotoka ccm kwenda Chauma ni wizi wa pesa za walipa kodi ni mradi haramu wa kishetani
 
Kama ni mungu wa dunia hii ni sawa. Lakini kama ni Mungu yule muumba wa mbingu na nchi, nakuhakikishia hawezi kusaidia mashoga. Mnatukuza na kushangilia abomination of desolation halafu mnataka Mungu awasaidie? Mungu hafanyi ujinga wa hivyo.
Unaweza kuleta ushahidi ni namna gani lissu anahusikanika na ushoga au kimeanza kukuwasha unahitaji kukunwa basi akili yako inakutuma kuwa watu wengine ni mashoga kama ulivo wewe na hali yako ya aibu ya ushoga au ndo akili zako NYUMBU wa kijani
 
Amkeni bwana hivi mko wapi. Kwa akili zenu mnajua lisu ana mapenzi na tanzania, kwamba anafungwa, alikosa kuuawa hivi vyote anawapigania watanzania. I am sorry for you. Lisu anatumika na beberu
 
Sorry yule binti yako uliyekua unamtafutia ajira humu, alishaolewa au bado?

Sema na we ni mtu mzima sana kwa ukubwa wa yule binti, ni mbibi. So jitahidi akili, mdomo na vidole vyako vishirikiane bimkubwa.
Naunga mkono hoja
 
Aliyemuokoa na risasi zote zile mwilini atamuokoa na sasa
 
Unaweza kuleta ushahidi ni namna gani lissu anahusikanika na ushoga au kimeanza kukuwasha unahitaji kukunwa basi akili yako inakutuma kuwa watu wengine ni mashoga kama ulivo wewe na hali yako ya aibu ya ushoga au ndo akili zako NYUMBU wa kijani
Ushoga aambiwe mtu mwingine, kuwashwa na makasiriko uwashwe wewe? Au na wewe ni wa njia hiyo hiyo ?
 
zindiko la kukimbiza Mwenge kuzunguka nchi...Mwenge mwenge..mienge...
 
Huyo Mamndenyi ndio mwanajamiiforum aliyenzisha KUOMBA kuchangiwa Hela humu tapeli sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…