Nani atatusaidia kuondoa 'state capture' Tanzania?

Sawa mkuu. Ila Mimi naongelea mwananchi wa kawaida sio vyama vya siasa. Vyama vya siasa ni wahanga wa state capture hata wafanyeje mfumo usipobadilika shida ni ileile
 
Njia ya tatu ni Nzuri na bora sana. Kwa ufupi njia nne ulizopendekeza ni bora zaidi
 
Kweli kabisa mkuu. Maamuzi magumu yanahitajika kutoka kwa wananchi.
 
UMENGOJA NINI MUDA WOTE HUO??HADI ALIESABABISHA HIYO SITUATION KAFA NDIYO UJE KUSEMA LEO??

HATA KUPONGEZA REFORMS ALIZOZIFANYA THE CURRENT PRESIDENT HAUTAKI.
 
Kwa kweli suala lililobaki ni kumuomba sana Mungu bila kuchoka ili aonyeshe njia ya namna ya kuondokana na utawala huu dhalimu, uliojikita katika kuwapoteza raia na mauaji holela ya wananchi

Kweli kabisa. Ni kumuomba Mungu kwa uchungu aingilie kati afanye Jambo ili wananchi wawe na mamlaka na nchi yao.
 
Kweli kabisa mkuu.
 
UMENGOJA NINI MUDA WOTE HUO??HADI ALIESABABISHA HIYO SITUATION KAFA NDIYO UJE KUSEMA LEO??

HATA KUPONGEZA REFORMS ALIZOZIFANYA THE CURRENT PRESIDENT HAUTAKI.
UMENGOJA NINI MUDA WOTE HUO??HADI ALIESABABISHA HIYO SITUATION KAFA NDIYO UJE KUSEMA LEO??

HATA KUPONGEZA REFORMS ALIZOZIFANYA THE CURRENT PRESIDENT HAUTAKI.
UMENGOJA NINI MUDA WOTE HUO??HADI ALIESABABISHA HIYO SITUATION KAFA NDIYO UJE KUSEMA LEO??

HATA KUPONGEZA REFORMS ALIZOZIFANYA THE CURRENT PRESIDENT HAUTAKI.

Reforms ni matendo sio mdomo. Reforms zipi wakati anaita katiba kijitabu?. Reforms zingekuwepo watekaji wangekuwa wanawajibika. State capture imekuwa kubwa kipindi chake kuliko wakati mwingine.
 
Kwani kuna mtu kanyimwa mshahara au kuna wananchi wanazuiwa wasifanye kazi zao za kila siku kama hakuna kilichokwama basi acha tupige kazi.

Hata yule Kijana aliyedharilishwa na Waziri Gekul alikuwa na akili Kama zako. Mpaka siku likutokee Jambo ndio unachukua hatua Kama halijakutokea halikuhusu.
 
Kweli kabisa mkuu. Wananchi watumie people's power Kama Kenya mpaka Muswada wa Bajeti ikarudishwa kabatini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…