Nani atatusaidia kuondoa 'state capture' Tanzania?


Kweli kabisa mkuu.
 
Itaondolewa siku wananchi wote wakiondoa uoga.wakiamua kufanya maandamano yasiyo na kikomo kama walivyofanya Kenya,misiri au Tunisia.viongozi Huwa wanaogopa sana nguvu ya umma ikiamua kuwawajibisha.

Kweli kabisa mkuu
 
Hii nchi inachosha sana, Wananchi wameshaichoka kwa mambo haya

Sasa kama Jaji msomi kabisa na Elimu yake eti anapigiwa simu kutoka juu aamue kesi kwa namna Serikali inavyotaka

Ajabu sana hii

Kweli kabisa mkuu, inasikitisha Sana.
 
Camera ipi hiyo yeneye kuchuku "cupture" state nzima?

leo naona umeamka na "kapcha" na "stecha". Ni mwendo wa ma cha cha cha tu.

Kondoo likitoka zizini na chafya, ujuwe siku nzima litapiga chafya tu.
 
Baadhi ya Wananchi wenzetu ni Wananchi ni wanafiki mno,kushabikia hata ujinga uliopitiliza, angalia mtu kama lukasi Mwashambwa!Hapa kati Tundu Lissu alimlalamikia mbele ya Waandishi wa Habari na Wananchi Bashite,Yeye kaja huku na ngonjera za kumsifu mtu Huyo!Kuhusu katiba mpya hiyo ni kama ndoto, serikali iliyopo madarakani unajua itaangukia pua, Narudia Tena itaangukia pua.
 
Watanzania kabla ya kwenda mbele tunarudi nyuma wazee wetu walipambana tena hawakuwa hata na elim kumuondoa Mzungu.Lakini keo kuna baadhi ya viongozi nchi hii wanaona ni mali ya familia yao.Ajabu watanzania tumekua waoga ule ujasiri wa babu zetu imepotea tumekua km mashoga tumeukataa uanaume tunataka tuwe lege lege tu yaan kiongozi hata akiwa mwizi utasikia wanamsifia tu hakuna wa kukemea.
Akitokea wa kukemea anaitwa mhaini,anataka kuharibu amani ya nchi na mtz ilivyo mipumbavu inaitikia kweliiiiiii huyo katumwa na mabeberu ....Wengine tuna hasira hatupendi ufala tumeamua kukaa pembeni maana hata ukitaka kutetea watu yaaan wanakuona kituko ...dah ila sisi hata sokwe ana nafuu ni majingaaa kiwango cha juuu kabisa ...ninyamaze nitakuja kutukana bure inaumiza sana .Hasa nikiwaza kizazi changu nakiacha kwenye jamii ya kipuuzi ya uchawa na kusifu sifu tu upumbavu ...
 
Reforms ni matendo sio mdomo. Reforms zipi wakati anaita katiba kijitabu?. Reforms zingekuwepo watekaji wangekuwa wanawajibika. State capture imekuwa kubwa kipindi chake kuliko wakati mwingine.
MNAJICHETUA SIYO??KWAMBA REFORMS MNAJITIA HAMZIONI??UNATAKA KUMLAUMU YEYE KWA KATIBA,MBONA MWENDAZAKE ALISEMA SIYO KIPAOMBELE CHAKE NA MLIKAA KIMYA??

MIKUTANO YA VYAMA VYA SIASA NI HAKI KWA VYAMA VYOTE,BUT ILIKUWA BANNED,ILA SASA INAENDELEA KAMA KAWAIDA,HUONI HILO??

FREEDOM OF PRESS AND SPEECH ILISHAKUWA NI MWIKO,UNAJIFANYA HAUONI KWA SASA CHANGES??

KUBANWA KWA WAFANYABIASHARA NA KUDHULUMIWA WAKULIMA ILIKUWA NI KAWAIDA,UNATAKA KUJIFANYA HUONI CHANGES LEO??
 
Jina lako na ujinga wako haviendani,jiite kubwa jinga!
 
Alishaonya Humphrey Pole Pole katika yale masomo yake! sasa tufanyeje?

Hawa hapa je? Tuwafanyeje? Kama wameuoa kabisa pamoja na maushahidi yote bado wanazidisha ukandamizaji????
 
Ni mtihani mkubwa ambao unalikabili Taifa leti kwa muda mrefu,changamoto nikwamba,niwangapi wanaelewa hilo? Watz wengi bado niwavivu wa kujifunza mambo na hii ndio inatupelekea kulipa gharama kubwa ya mateso.
 
Sisi wote bado ni generesheni ya wagombania uhuru tu huwezi kumtofautisha Mwl nyerere na Samia iyo yote ni generesheni moja tu ktk historia ya nchi

Miaka 60 ktk historia ya nchi ni miaka midogo sana leo hii Mwl nyerere hayupo ila bado watu wanafanya maamuzi na kuchagua viongozi tokana na ushawishi wa Mwl nyerere aliouacha

Tujipe muda tuendelee kuombea matatizo kibao mybe yanaweza changia kukuza na kutukomaza akili mapema tukaona haja ya mabadiliko
 
Jamaa kama una hoja vile! Lakini, kuna Vinchi ambayo tumepewa Uhuru wakati moja na ilichukuwa miaka 30 tu kufanya mageuzi makubwa, hapa kwetu shida ilianza wapi mpaka tukaishia huku?
 
Kuna kakaaangu moja baada ya kuniona nailalamikia jamii yetu juu ujinga uliokithiri aliniambia kuwapigania watz ni sawa na kupigia Mbuzi gitaa. Kwahiyo ndugu huumii pekeyako tupo wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…