ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
- Thread starter
- #21
Kusaga hakuna wa kumfikia , ni tajiri kama Mbunge Joseph msukuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vunja bei n tajiri wa instagram [emoji23][emoji23][emoji23], laswai n noma mzeeSasa Kwa hapo jibu ni bilionea Laswai au bilionea Kusaga, je vipi na vunja bei
Mshana Jr atakuzidi kwenye utajiri wa mambo ya jadi🤣
Imenibidi nilete ubishani huu huku jukwaani kwani hii inaweza kuwafanya vijana wafanye kazi na kujituma na kuweza kujipatia Fedha nyingi nao wakatambulika na kuheshimika kama watu Hawa.
Tulikuwa tumekaa kijiwe kimoja na moja ya wadau wa tasnia mbalimbali za entertainment na ukazuka ubishi juu ya uwezo wa Fedha (utajiri) kati ya watu wawili ambao sote tunajua Wana uwezo wa kifedha japokuwa mmoja yupo na biashara zake dar es salaam mwingine yupo na biashara zake Arusha na Kilimanjaro.
Kulikuwa na mjadala wa muda mrefu kuwa kati ya tajiri Joseph Kusaga na Tajiri Vicent Laswai nani ana mkwanja mrefu kuliko mwenzake.
Joseph Kusaga ni Bilionea anaemiliki biashara hizi
1. Clouds media Group, Wasafi Tv , wasafi radio, diamond karanga, diamond pafyumu, etc
Na Vicent Laswai ni yeye ni mwenyekiti wa Kibo group limited, ambaye anaemiliki kibo palce hotels in Arusha na Kilimanjaro, lakini pia anaemiliki maduka ya Kuibadilisha Fedha, na pia ni mfanyabiashara kama agent Kwa Kanda ya kaskazini.
Sisi machalii wa A town mtu mwenye mawe mengi tunamuita Fogo, Sasa kati ya Joseph Kusaga na Vicent Laswai nani Fogo zaidi.
Nani hapa ana mapene mengi.
View attachment 2661471View attachment 2661473View attachment 2661474View attachment 2661475
Mzigo wa laswai upande wa hotel tuu ndio mzigo wa kusaga wote.huyo laswai ni motovwa kuotea mbali kwanza ni mkongwe biashara kaanza siku
Tajiri ya dollarMzigo wa laswai upande wa hotel tuu ndio mzigo wa kusaga wote.huyo laswai ni motovwa kuotea mbali kwanza ni mkongwe biashara kaanza siku nyingi
Kusaga ni mbia Kwa wasafi media. Wasafi betiWasafi media ya kusaga Toka lini? Kama hujui mwenyewe si uulize tukwambie
Sawasawa...Kusaga hamfikii laswai Kwa utajiri
Baba levoKuna chawa wao watakuja kukupa majibu.
Dah we mzee😂🤣🤣Kwamba anampa nani kati ya hao....🙊
Mkuu, ebu usipende kutukana watu...😜
Ebu kua na adabu kwa baba yako...🤨Dah we mzee😂🤣🤣
Sawa mzee, msalimie bimkubwaEbu kua na adabu kwa baba yako...🤨
Ameitika mama yako hapa ndio tume maliza kucheza segere....😋Sawa mzee, msalimie bimkubwa
🤣😂😂😂, Kama lizie mahari🤣😂Ameitika mama yako hapa ndio tume maliza kucheza segere....😋