Nani hasa ana utajiri mkubwa kati ya Joseph Kusaga DSM na Vicent Laswai Moshi? Nani Fogo

B
Imenibidi nilete ubishani huu huku jukwaani kwani hii inaweza kuwafanya vijana wafanye kazi na kujituma na kuweza kujipatia Fedha nyingi nao wakatambulika na kuheshimika kama watu Hawa.

Tulikuwa tumekaa kijiwe kimoja na moja ya wadau wa tasnia mbalimbali za entertainment na ukazuka ubishi juu ya uwezo wa Fedha (utajiri) kati ya watu wawili ambao sote tunajua Wana uwezo wa kifedha japokuwa mmoja yupo na biashara zake dar es salaam mwingine yupo na biashara zake Arusha na Kilimanjaro.

Kulikuwa na mjadala wa muda mrefu kuwa kati ya tajiri Joseph Kusaga na Tajiri Vicent Laswai nani ana mkwanja mrefu kuliko mwenzake.

Joseph Kusaga ni Bilionea anaemiliki biashara hizi
1. Clouds media Group, Wasafi Tv , wasafi radio, diamond karanga, diamond pafyumu, etc
Na Vicent Laswai ni yeye ni mwenyekiti wa Kibo group limited, ambaye anaemiliki kibo palce hotels in Arusha na Kilimanjaro, lakini pia anaemiliki maduka ya Kuibadilisha Fedha, na pia ni mfanyabiashara kama agent Kwa Kanda ya kaskazini.

Sisi machalii wa A town mtu mwenye mawe mengi tunamuita Fogo, Sasa kati ya Joseph Kusaga na Vicent Laswai nani Fogo zaidi.

Nani hapa ana mapene mengi.

View attachment 2661471View attachment 2661473View attachment 2661474View attachment 2661475
Brother Vicente yuko njema sana

Sema hii mchongo pesa inamtajirisha sana big Joe yaani anapiga bila presha. Unajua pesa aliyoingiza big Joe kuanzia mwezi wa Tano ni hataree

Big Joe ni fogo
 
Vicente laswai ni mkurungenzi kibo group of companies inayomiliki kibo palace Arusha, kibo palace moshi,kibo apartments arusha,Kilimanjaro luxury homes moshi,Agent wa consumers goods kutoka Kenya na agent wa sukari kwa mikoa ya kaskazini!!kusaga hawezi kumfikia hata kwambali.
 
Imenibidi nilete ubishani huu huku jukwaani kwani hii inaweza kuwafanya vijana wafanye kazi na kujituma na kuweza kujipatia Fedha nyingi nao wakatambulika na kuheshimika kama watu Hawa.

Tulikuwa tumekaa kijiwe kimoja na moja ya wadau wa tasnia mbalimbali za entertainment na ukazuka ubishi juu ya uwezo wa Fedha (utajiri) kati ya watu wawili ambao sote tunajua Wana uwezo wa kifedha japokuwa mmoja yupo na biashara zake dar es salaam mwingine yupo na biashara zake Arusha na Kilimanjaro.

Kulikuwa na mjadala wa muda mrefu kuwa kati ya tajiri Joseph Kusaga na Tajiri Vicent Laswai nani ana mkwanja mrefu kuliko mwenzake.

Joseph Kusaga ni Bilionea anaemiliki biashara hizi
1. Clouds media Group, Wasafi Tv , wasafi radio, diamond karanga, diamond pafyumu, etc
Na Vicent Laswai ni yeye ni mwenyekiti wa Kibo group limited, ambaye anaemiliki kibo palce hotels in Arusha na Kilimanjaro, lakini pia anaemiliki maduka ya Kuibadilisha Fedha, na pia ni mfanyabiashara kama agent Kwa Kanda ya kaskazini.

Sisi machalii wa A town mtu mwenye mawe mengi tunamuita Fogo, Sasa kati ya Joseph Kusaga na Vicent Laswai nani Fogo zaidi.

Nani hapa ana mapene mengi.

View attachment 2661471View attachment 2661473View attachment 2661474View attachment 2661475

Aliekwambia kusaga ana own wasafi media ni nani?
 
Back
Top Bottom