Nani hasa ana utajiri mkubwa kati ya Joseph Kusaga DSM na Vicent Laswai Moshi? Nani Fogo

Ungetuuliza nani kati yao anauza Dawa za Kulevya na nani ni Mdhulumati tungekujibu bila Wasiwasi Mkuu.
 
Nyie nyote mliokusanya pvmbv zenu kutetea wanaume wenzenu badala ya kufanya kazi ni WAPUMBAVU na MALOFA.

Tawanyika haraka sana!
 
Kifupi huu mjadala kusaga hawezi shinda hata iweje
Unamshindaje Laswai mbele ya wachaga na Arusha gang walioko mtandaoni yani unabishana nao vipi hadi ushinde!?
Anyway mi nasema Hawa wote ni matajiri wakubwa na mshindi kati Yao hayupo.
Mi nilichoona tofauti ni mtu akiwa tajiri Dar anajulikana TZ nzima ila ukiwa tajiri mkoani unaishia kujulikana mkoa husika na labda mikoa jirani
 
B
Brother Vicente yuko njema sana

Sema hii mchongo pesa inamtajirisha sana big Joe yaani anapiga bila presha. Unajua pesa aliyoingiza big Joe kuanzia mwezi wa Tano ni hataree

Big Joe ni fogo
Big joe kwa level yke laswai ni mkubwa sana,kwa asset alizo nazo,dar,nairobi,arusha,moshi...big joe ni ndogo sana
 
Acha kuwalinganisha wachaga na wasukuma kwenye biashara na pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…