Elections 2015 Nani hatari zaidi kati ya malaika aliyegeuka shetani, Au shetani aliyegeuka malaika?!

Mfano wa Shetan kujeuka Malaika,tunaipata kwenye kisa cha Sauli kwenye Biblia alie kuwa akiwaua watu wa Mungu,lkn cku 1 akiwa anaenda Dameski kutekeleza mauaji ya wakristo,ghafla njian alikutana na Mwanga mkali na Yesu akamwambia "Sauli Sauli Sauli Mbona waniudhi?
 
Kuanzia wakati huo Sauli alibadilika na akaacha ushetani wake na kuwa mcha Mungu akiwa anajilikana kwa jina la Paul, kiasi cha kifanya kazi ya Mungu kwa kiasi kikubwa kuliko hata mitume walio ishi na Yesu.
 

Kati ya mchafu aliyeamua kujiunga na wasafi na msafi aliyeamua kujiunga na wachafu : tafakari
 

Ndio maana huko makanisani mnaenda lakini mnachekwa na wasiokuwa wakristo maana vichwani ni watupu kuhusu maandiko yenu. Aliyekuwa anaelekea Dameski kisha akatokewa na mwanga na kuulizwa "Sauli Sauli Sauli Mbona waniudhi?" ni nani - Shetani au Sauli? Nyamaza kama hujui kitu.
 
Kati ya mchafu aliyeamua kujiunga na wasafi na msafi aliyeamua kujiunga na wachafu : tafakari

Huu mfano wako uko vizuri. Msafi aliyejiunga na wasafi inategemea nia yake. Kama ni kuchafua walio safi huyo hafai. Ila kama ni kuacha uchafu wake na kuishi maisha safi huyo afaa sana kuliko msafi mpumbavu aliyeamua kujizamisha kwenye matope.
 
Kuhusu malaika aleyegeuka shetani sijui, ila hakuna shetani aliyegeuka malaika.

Kuhama chama sio kugeuka malaika.

Shetani akitaka kugeuka malaika lazima kwanza akubali kuwa yeye ni shetani.

Shetani anayejifanya kuwa hajawahi kuwa shetani hawezi kubadilika maana ule ushetani wake anaona unamfaa kabisa...
 
 

Dudus?Kwa uelewa wako Shetani ni kitu/kidudu au kiumbe gani?
 

Hakika siku yangu imekuwa njema kwa uzi huu hata kama nimeuelewa ndivyo sivyo.


 
Mkuu tafadhali tuachie hadithi za abunuwasi, tayari nimeshafanya maamuzi sahihi? tabia ya mtu ni kama ngozi ya mwili huwezi kuibadili.tuwache kufanya uwongo uwe ukweli hali ya kuwa ukweli wa mambo upo wazi. Palipo na uongo hauwezi kuchanganya na uwongo hata siku moja, daima ukweli utakaa mbele ingawa wengi utawakera na watapigana nao kuhakikisha uongo unaendelea kuchukua nafasi lakini hilo halitaweza kuchukua nafasi juu ya ukweli.
 
Kuna principle moja "the princple of identity inasema everything is the same with itself and different from another" shetani NI shetani, malaika NI Malaika, binadamu NI binadamu. Malaika akiwa shetani hawez kuwa shetani at the same time awe malaika. Huyo anakuwa shetani na NI shetani. Sijajua kwa binadamu, tofaut kuwa anaweza kuwa mwema au muovu sijui kuwa hilo linamfanya kuwa Malaika au shetani
 
Kama una ilim ya malaika na viumbe wasiokua wa kawaida utakua unajua Kuwa MALAIKA akishaanguka hua hana nafasi tena ya Kuwa MALAIKA kwa mara ya pili.
Mwenye nafasi hiyo ni mwanadam pekee.
Hata atamani namna gani, akishakuwa shetani kawa.
 

Pathetic riddle, pls stop hiding behind a smoke screen, it's well known for whom you are blowing the trumpet for and whom you plan to blast as the devil.

Lowassa is comple and totally a corrupt person , " A LEOPARD DOES NOT CHANGE ITS SPOTS" thus please don't fail yourself.
 
Na ukumbuke Kuwa shetani akienda kwenye kundi la malaika na wakampokea na kushirikiana nae, wote mbele ya Mungu wanageuka Kuwa fallen Angels ama unaweza waita Mashetani.
Maana Malaika wameumbwa kufuata njia moja tu, wakigeukia nyingine tofauti wataifuata hiyo hiyo milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…