Elections 2015 Nani hatari zaidi kati ya malaika aliyegeuka shetani, Au shetani aliyegeuka malaika?!

Mkuu Chuwa, kufoji ni kazi ya shetani, baada ya kufeli, ukafoji ukaingia kusoma nursing, ukafaulu, ukawa nesi sasa unafanya kazi ya Mungu. Daudi Bashite baada ya kufeli, alifoji na kujiendeleza akafaulu, sasa anafanya mema. Yaani Mungu anamtumia shetani kufanikisha mipango ya kishetani kisha unatubu na kufanya mema. Hivyo ndivyo alivyokuwa Sauli kabla hajawa Paulo na ndivyo alivyo Daudi Bashite kabla hajawa Paul Makonda, yote ni mipango ya Mungu kufanikisha mambo ya wateule wake. Na hiyo kazi ya RC ni Mungu kampa na tunamtayarisha kumpokea Magufuli

Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...
Paskali
 

Tatizo lake hata akienda Chuoni Bashite akifanya mitihani anajikuta yuko Bilicanas,sasa hata hivyo vyeti havimsaidii.Maana nunua cheti halafu kichwa nacho wamo.
 
Tatizo lake hata akienda Chuoni Bashite akifanya mitihani anajikuta yuko Bilicanas,sasa hata hivyo vyeti havimsaidii.Maana nunua cheti halafu kichwa nacho wamo.
Tetty kinachomata sio akili za darasani bali akili za maisha. Wangapi wanafeli masomo na kukata tamaa ya maisha?. Baada ya kufeli na kuamua kuiba nayo ni akili. Kitendo cha aliyefeli kisha kutumia cheti cha mwingine kujiunga chuo kikuu nayo ni akili. Kitendo cha mtu kichwani mtupu lakini akafaulu chuo kikuu nayo ni akili kubwa. Kitendo cha kujipendekeza hadi kuteuliwa nayo ni akili. Hivyo akili muhimu kabisa sio akili ya darasani, sio vyeti bali akili ya maisha.

Jamaa kichwa.

Paskali
 

Basi hana akili maana mwenye akili angeng'amua toka mwanzo kujipendekeza lakini unatumia Cheti chako mwenyewe.Mbona Ole Sendeka ana Div.Bashite na ni Mkuu wa Mkoa??Ni kweli cheti siyo msingi wa utajiri ndiyo sababu wafanya biashara wakubwa wengi wana akili za wastani,lakini ukitaka kuwa mwanasiasa kuwa mwaminifu,jipendekeze na jina lako siyo jina la mwenzako.

Bado Bashite anakesi ya kujibu ambayo ni miaka 7 jela
 
Hakuna kesi yoyote kwa sababu hili jambo linasimamiwa na Mungu mwenyewe, aliyefeli ni Daudi Bashite, aliyeiba vyeti ni Daudi Bashite, na mwisho wa Daudi Bashite ni pale alipoiba vyeti na kubadili jina kwa kuzaliwa upya kama Paul Makonda ambaye ni mcha Mungu, mlokole akifanya kazi ya Mungu na kutenda mema. Njia za Mungu sio kama za binaadamu. Mtu wa shetani akitubu na kumrudia Mungu, dhambi zake zote za nyuma zinafutwa.

Paskali
 
Pascal,

Acha kumtania Mungu, njia rahisi kwa aliyefanya kosa ni mkutubu dhambi zake na kuiacha ofisi kama kweli anamwogopa mungu sio kuombewa na Masheikh na Wachungaji.BTW wakristo wanaamini maombi ya Mashehe yanaweza kuwasaidia????
 
Ndugu yangu Paskali, nimekusoma. kwa maoni yangu sehemu kubwa ya hoja yangu haijajibiwa na BANDIKO lako. Ni Swali: Kwa mantiki hiyo unadhani zoezi la KUHAKIKI vyeti ni halali?
 
Ndugu yangu Paskali, nimekusoma. kwa maoni yangu sehemu kubwa ya hoja yangu haijajibiwa na BANDIKO lako. Ni Swali: Kwa mantiki hiyo unadhani zoezi la KUHAKIKI vyeti ni halali?
Zoezi la kuhakiki vyeti ni halali ili kuwabaini waliofoji vyeti na kuvitumia kupatia ajira kwa elimu ambayo hawana.

Makonda alifoji jina na kufoji cheti cha kujiendeleza. Darasani aliingia yeye mwenyewe na chuo alihitimu hivyo bandia ni jina tuu.

Kuna watu hawakusoma, wana kazi wasio na ujuzi nazo.

Kuna watu wametengenezesha vyeti fake.

Hawa ni sawa wakiondoka.

Kazi ya RC na DC haina vigezo vya elimu.
Je, wajua rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!
Paskali
 
Paskali. Wewe ni miongoni mwa watu NINAOWAAMINI SANA humu JF na hasa mabandiko yako. Najua WAMFAHAMU VIZURI SANA RC Makonda. Na umeandika hivyo kumhusu. Kwa hiyo UNATUTHIBITISHIA kuwa MAKONDA ALIFOJI JINA na CHETI cha kujiendeleza? Na KUWA ANA JINA la BANDIA?
 
Shetani akigeuka Malaika hakuwahi kuwa shetani huyo na malaika akigeuka kuwa shetani naye hakuwahi kuwa malaika! Malaika hawezi kuwa shetani na kinyume chake ni kweli vile vile. MMM
Wanabodi hapa ni katika kukumbushana tuu mambo abstract ya kufikirika tuu sio lazima yawepo in reality.

Abstract za aina hii zinawahusu ma deep thinkers na ma Great Thinkers kwenye abstract world.
Hoja hapa ilikuwa "
Tatizo ni wale malaika ambao waanajiita malaika na kujidai wako kwenye kundi la malaika lakini wanafanya kazi ya shetani!
"
Paskali
 
Wanabodi, hii thread japo ni ya zamani, lakini bado iko valid, hapa niliuliza swali, jee ni nani hatari zaidi kati ya malaika aliyegeuka shetani, au shetani aliyegeuka malaika?.

Natumaini vitendo vya kishetani alivyofanyiwa Tundu Lisu mmeviona, kazi sasa iliyobakia ni kumbaini huyo shetani aliyefanya kitendo hicho!.

Paskali
 
Kwa hiyo Mzee Kipara ni malaika aliyegeuka shetani?
Mkuu, Aluwatan, hii mada ni kuhusu abstract, it is meant for ma GT tuu, ma GT, huwa hataji majina wala hawa discuss watu, wao wana discuss ideas, hii ni mada ya swali moja rahisi sana kwenye hypothetical situation kuwa hapo hapo mwanzo, shetani alikuwa malaika kabla hajawa shetani, tena ndio alikuwa malaika Mkuu! .

Kwenye himaya ya mashetani shetani hayuko peke yake, yuko na wale malaika wengine waliojiunga nae ambao sasa wote ni mashetani wengine walioamua kujiunga nae!.

Katika la jeshi la malaika wa mbinguni from time to kuna baadhi ya malaika huwa wana defect na kumfuata shetani na hivyo hugeuka mashetani.

Vivyo hivyo kwenye jeshi la shetani kuna mashetani huwa wanatubu na kumrudia Mungu hivyo hurejea na kuwa malaika. Hawa sasa ni harmless kwa sababu ushetani wao wote wanakuwa wameuacha kule ushetanini!.

Swali ni jee?, nani ni hatari zaidi kati ya shetani aliyetubu na kugeuka malaika au malaika aliyegeuka shetani kwa kufanya kazi ya shetani huku akiendelea kupose as malaika?!.

Hapa sizungumzii watu watu halisi katika ulimwengu huu wa mwili, kwa sababu dhana ya ushetani na umalaika sio mambo ya mwili ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya roho hivyo japo huyo shetani aliyegeuka malaika, na malaika aliyegeuka shetani ni hypothetical personalities tuu za kule kwenye ulimwengu wa roho, lakini watu wenye traits hizo pia wapo in real life situation.

Mfano mzuri ni mtu aliyekuwa Sauli alikuwa kama shetani akiwatesa Wakristu kwa ukatili na mateso ya ajabu, lakini siku moja akiwa katika njia ya Jeriko, alitokewa na Mwanga wa ajabu ukampofusa macho kwa muda, nuru ilipomrudia, akabadilika na kuwa kama malaika, na kubadili jina na kuwa Paulo na ndiye huyu Mtume Paulo.

Kwa upande wa Tanzania yetu hii ya leo, kuna watu waliofanya vitendo vya kishetani huko nyuma, lakini sasa

Paskali
 
If everybody was a "Great Thinker", the world would die of famine.

Everybody would think, nobody would farm.

"Great Thinker" is overrated.

Sometimes we need "Great Doers".

You can't have impotent hypotheticals that are not realized in the actual.

Yes, great minds discuss ideas, but sometimes the ideas are about doing things and naming names.
 
Pasikali, kwa ulimwengu USIO wa MWILI huu, bora SHATANI aliyegeuka kuwa Malaika..na hivyo, aliye HATARI ZAIDI ni Malaika alogeuka kuwa Shetani..
 
Malaika walioasi yaligeuka mashetani....HIVI KUNA SHETANI ALIYEASI?AJE KUWA MALAIKA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…