Nani huwa nyuzi zake zinakuvutia sana?

Nani huwa nyuzi zake zinakuvutia sana?

American Dream

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2022
Posts
313
Reaction score
352
Habari zenu Wana JF wenzangu!

Kwa kujiunga ni new member lakini nimekuwa nikisoma nyuzi mbalimbali za mahusiano forum Toka 2014 Bila kulog in, nikafanya maamuzi nijiunge maana nimekuwa napata mengi sana kupitia jukwaa hili.

Kuna members mpaka majina yao yapo kichwani kwa nyuzi nzuri na mengineyo; Kuna mshana Jr, the boss, Faiza foxy, nyani ngabu, sky eclat, sexless, zero iq, deepond and so on. Kassie sijamweka hapo juu mana yeye nyuzi zake zimekuwa zikiukonga moyo wangu haswaa imebidi nimtaje kipekee kabisaa.

Haya wana JF wenzangu nani nyuzi zake Huwa zinakukonga moyo sana?

Mimi nimeanza na Kassie

659-a-boy-and-girl-model-pose-with-their-mobile-phone-at-lodhi-gardens-image-Models_in_Lodhi_G...jpg
 
Back
Top Bottom