Nani huwa nyuzi zake zinakuvutia sana?

Nani huwa nyuzi zake zinakuvutia sana?

Kidukulilo kumbe tayar8 ameshakuwa maarufu na watu tayari wanamiss stories zake?!!!! Duu, ngoja nami nijichetue nipate wafuasi
 
Habari zenu Wana JF wenzangu!! Kwa kujiunga ni new member lakini nimekuwa nikisoma nyuzi mbalimbali za mahusiano forum Toka 2014 Bila kulog in, nikafanya maamuzi nijiunge maana nimekuwa napata mengi sana kupitia jukwaa hili.

Kuna members mpaka majina yao yapo kichwani kwa nyuzi nzuri na mengineyo; Kuna mshana Jr, the boss, Faiza foxy, nyani ngabu, sky eclat, sexless, zero iq, deepond and so on.
Kassie sijamweka hapo juu mana yeye nyuzi zake zimekuwa zikiukonga moyo wangu haswaa imebidi nimtaje kipekee kabisaa.

Haya Wana JF wenzangu nani nyuzi zake Huwa zinakukonga moyo sana?
Mi nimeanza na Kassie

View attachment 2156764
Mbona Ricky boy hujamtaja?
 
Honestly,
Nmempenda Sana uyo mdada kwenye picha ya kusindikizia Uzi wako[emoji4]
 
Wote wenye simulizi na visa amazing, maonyo, maelekezo, ushauri, makatazo, uzoefu, nimefurahia nimejifunza na naendelea kujifunza hata mzaha uwe mia mia ila kusudi linaingia vema asanteni wote
 
Back
Top Bottom