Nani huwa nyuzi zake zinakuvutia sana?

Nani huwa nyuzi zake zinakuvutia sana?

Ndio ushamkaribisha bob...

Subiri ujio wake, mida ikifika ukisikia tu sauti za minyau nyau au mijibwa nje, ujue mzee wa Kihurio kashatia timu
[emoji2]
giphy.gif
 
Kuna mtu anaitwa DeepPond huyu jamaa nyuzi zake huwa nikisoma nacheka sana.

Kuna mchepuko wake unaitwa Mama J kwa sasa wamekaushiana. Alafu anatoka na mdogo wa mke wake.

Pia ana duka na gari, ni shabiki wa mpira na ana vijana wake wa dukani kwake huwa anawazinguaga sana.

Kwa taarifa zaidi mnaweza kupitia nyuzi zake maana zipo hapa JF.

Asanteni !
 
Back
Top Bottom