Nani huwa nyuzi zake zinakuvutia sana?

Nani huwa nyuzi zake zinakuvutia sana?

aaaaaaw' Lenie wangu jamani..!!
Ni nini kutaka tu nianze kuringa sahizi.?? Nikiringa nikaacha kukusalimia je..??

Nakupendaga tu Mimi mwenzio.!!😍😍
😂😂😂 ringa tu mpenzi, yale madini yamejaa kwa kichwa yako aah una haki zote za kutembea kwa madaha ila salamu tu usitunyime😂

I love you more darling😘😘
 
Kuna member wapo vizuri ila ni kwenye comments zao na sio kwa kuanzisha nyuzi,sio kila memeber hua yupo interested kuanzisha thd bali wengine hua na michango mizuri kwenye comments zao,
So,bila shaka hilo nalo ungelijumuisha kwenye thd yako kama unaona ni sahihi mkuu,

Binafsi napenda sana comments za KikulachoChako huyu jamaa hua anaenda kwa fact na kwa ushauri mzuri kwa muhusika.
Nitarudi kutaja wengine.

True that...

Kuna raia hatupendi kuanzisha nyuzi, tunapenda kuchangia tu hapa kwenye kijiwe nongwa
 
Back
Top Bottom