Nani huyu anayepigwa hivi? Amekosa nini? Au ndio wasiojulikana?

Huyu atakua ni shabiki wa yanga kaingia anga za wapenzi Wa Simba.
 
Siwezi kuofungua hapa hiyo video lkn niliigumia kwa mwana chadema mmoja huko insta...inaonekana kama mtu wa mitandaoni huyo?
 
Hii picha akiiona Mama, kuna mtu hana ajira. na ni rahisi kuwatambua wote kwa sababu Namba ya gari iliyopark inasomeka vizuri
 
Ina maana Mahakama hazina kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…