Ni nani huyu anaepigwa hivi? Amekosa nini? Kwanini wenye kumpiga wanasema "atatuharibia kazi" kazi gani? Na ame' post neno "kimeumanaaa" wapi? Ndiyo kosa lake? Anaefahamu kisa hiki atusaidie, tufahamu. Namba za gari ni T 777 BWS...

Polisi ndio wanashauri hilo maana njia za kisheria hazifui dafu kwa watu wakorofi π sheria inampa nguvu ya kurudi kitaa anapiga matukio sasa dawa yake ni kumgongelea msumari wa inch 6 utosini tu
Kukamatwa kwa lipi? Huyo jama kanasa mtegoni wacha wampe chai kwanza πππ maswala ya kujifanya askari wakati hujawahi kanyaga CCP Mafunzoni mwisho wake ni kulambwa stiki tu πππ
Kukamatwa kwa lipi? Huyo jama kanasa mtegoni wacha wampe chai kwanza πππ maswala ya kujifanya askari wakati hujawahi kanyaga CCP Mafunzoni mwisho wake ni kulambwa stiki tu πππ
Lawama zipi mzee we pambana tu kiume ila ujue watakufirigisa vibaya mno kama huna skills za kupigana πππ yani utarusha ngumi mbili 3 ila kinachofata wakikubana watakufirra
Lawama zipi mzee we pambana tu kiume ila ujue watakufirigisa vibaya mno kama huna skills za kupigana πππ yani utarusha ngumi mbili 3 ila kinachofata wakikubana watakufirra
Nyie mnaojidai sheria, natamani siku moja mkutane na hawa matapeli ndo mtaelewa.
Hivi unafikiri wananchi hawaelewi kwamba kuna sheria? Unampeleka kwenye sheria baada ya siku mbili unamkuta street na anaendelea kutapeli kama kawaida. Ndo maana wananchi wamechoka wameamua kupiga tu.
Nikupe mfano, mtaani kwetu kuna kijana mwizi anaiba wizi wa kuvunja milango mchana, watu wamepeleka polisi anafungwa anatoka na akirudi uraiani anendeleza wizi. Sasa kuna mwezi Rais SSH aliwaachia jamaa kurudi kavunja geto la mtu. Polisi wametupa ruhusa sasa hivi mkimuona ueni Tuje tuchukue maiti