Nani kaipa mamlaka Israel ya kuishambulia Syria?

Syria ndio njia kuu ya kupitisha silaha kutoka Iran, kwenda Lebanon na zinatumika dhidi ya Israel. Kwa hiyo alihusika na kipigo ni halali kwake.
 
Israel alisha wahi kuishambulia ubalozi wa Russia hapo Syria.. Israel alisha wahi kuishambulia meli ya marekani na kuuwa wanajeshi 100.. Israel haitaji kibali cha mtu yoyote kuishambulia nchi yoyote..
 
kibali cha Hamas na Hezbollah kuishambulia Israel na kuteka wayahudi wamepata wapi?
 
Yahudi ana clear the air ili waasi watawale vizuri, mbona hujiulizi kwa nn Rusia hazuii hayo mashambulizi na bado yupo syria?

Kama huna c tatu huwezi kuelewa
 
UKIPIGANA NA ISRAEL UNAPIGANA NA MUNGU
 
Reactions: Avs
Mimi nilijua ugomvi wa Israel ni serikali ya Assad na kwakuwa imeanguka basi kutakuwa na amani eneo Hilo ila sasa inaonekana Israel inalazimisha Kwa nguvu bifu na utawala mpya
 
 
 
Hapa angalau nmepata kitu mkuu, kwamaana hiyo uwekezaji wa kijeshi Iran alioufanya hapo Syria Kwa umesambaratishwa rasmi, in short Iran karudishwa nyuma itabidi anaanze upya either atafute nchi nyingine au aelewane na utawala mpya wa Syria
 
Hivi mnaposemaga magaidi uwa mnamaanisha nini unajua alieyemtoa Assad ni na alishakamatwa na USA kifupi USA ndo inatengenesa makundi ya Magaidi kwa Interest zake
 
Hizo taarifa za kiintelijensia ziweke wazi hapa ?

Na je siku Kenya ikipata taarifa za kiintelijensia itakuwa na mamlaka ya kuishambulia Tanzania na kuanza kuirushia mabomu hovyo hovyo ?
Mkuu mbona israel walishawai kushambulia Maghara ya silaa Sudani, Israeli popote pale akimua kushambulia ana shambulia tena kwa nchi hizi za kiislam zenye siasa kali na kufuga Vikundi vya kigaidi, Mfano ata Tanzania ibainike inawasaidia Hammas utashangaa kambi zetu zinalipuliwa ghafra na kubaki kushangaa.
 
Syria kwa sasa bado haijawaha na serikali baada ya Assad kuondolewa, ni kama kilu mtu anajifanyia jambo lake tu.
 
Utamsikia msemaji wa jeshi, '' right now, at this moment, the IDF is conducting precise air strikes in military targets in Iran''
 
Binafsi natamani aendelee kupiga ili ukombozi ukaribie. Wale wasunni walio wengi pale middle east akili itakapo kaa sawa ndio ukombozi utakuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…