Nani kaipa mamlaka Israel ya kuishambulia Syria?

Wewe mwenyewe hujui bibilia eti Yesu atarudi, bibilia yenu inakiri Yesu harudi. Bibilia zenu zilidai kuwa Yesu alisema atarudi ndani ya maisha ya Mitume yenu wa kwanza Paulo je karudi, na walimwamini kama wewe atarudi, Mitume wote walikufa na Yesu hakurudi tena. Kwa hiyo Ukristo unapaswa kukataliwa. Kuna sehemu nyingi ambazo Yesu alisema wanafunzi wake hawataonja kifo na wangekuwa bado hai wakati, Ujio wa Pili ungetokea. kunakingine zaidi ya hayo, wanafunzi waliamini, wakitumia maneno kama, basi sisi tulio hai, tuliobakia hata kuja kwa Bwana, vilevile Paulo aliwaonya waamini kwamba wasiolewe, kwa sababu Yesu alikuwa anarudi upesi.Hata katika Ufunuo, Yohana alidai kwamba alipata maono kutoka kwa Yesu akisema anakuja upesi.

Mitume wote walikufa bila kurudi tena. Miaka 2000 baadaye hakuna kurudi tena.bibilia yenu inakiri kwamba Yesu alisema uongo. We baki US atabaki Super power mpaa Yesu arudi, hizo ni ndoto za vichaa.
Hapa, kuna uliyoyasema yasiyo ya kweli.

Hakuna mahali Yesu alisema kuwa atarudi lini bali alisema hakuna ajuaye siku wala saa, si mwanadamu wala malaika wa mbinguni, isipokuwa BABA WA MBINGUNI pekee.

Aliwapa ishara mbalimbali za mambo yanayotakiwa kutolea kabla ya yeye kurudi. Na alisema kuwa hata hayo yakitokea, siyo kwamba ndiyo itakuwa muda wa yeye kurudi, maana hayo ni sharti yatokee kwanza.

Kubwa lililo la kweli ni kuwa kuna mengi tusiyoyajua kuhusu ufalme wa Mungu, bali yale tuliyoafundishwa na KRISTO YESU, yanatosha kutuwezesha kumfahamu Mungu, na kumfikia. Lakini kuna mengi sana ambayo hakuna mwanadamu ayajuaye.
 
Wacho story wapi nimesema uwongo.
 
Wewe mwenyewe hujui bibilia eti Yesu atarudi, bibilia yenu inakiri Yesu harudi. Bibilia zenu zilidai kuwa Yesu alisema atarudi ndani ya maisha ya Mitume yenu wa kwanza Paulo je karudi, na walimwamini kama wewe atarudi, Mitume wote walikufa na Yesu hakurudi tena. Kwa hiyo Ukristo unapaswa kukataliwa. Kuna sehemu nyingi ambazo Yesu alisema wanafunzi wake hawataonja kifo na wangekuwa bado hai wakati, Ujio wa Pili ungetokea. kunakingine zaidi ya hayo, wanafunzi waliamini, wakitumia maneno kama, basi sisi tulio hai, tuliobakia hata kuja kwa Bwana, vilevile Paulo aliwaonya waamini kwamba wasiolewe, kwa sababu Yesu alikuwa anarudi upesi.Hata katika Ufunuo, Yohana alidai kwamba alipata maono kutoka kwa Yesu akisema anakuja upesi.

Mitume wote walikufa bila kurudi tena. Miaka 2000 baadaye hakuna kurudi tena.bibilia yenu inakiri kwamba Yesu alisema uongo. We baki US atabaki Super power mpaa Yesu arudi, hizo ni ndoto za vichaa.
Kama kawaida yenu waislamu,mnayaparamia maandiko ya biblia bila kuyaelewa ,

Kwanza, imani ya kurejea kwa Yesu ni jambo muhimu katika Ukristo. Ingawa baadhi ya Wakristo wa awali walidhani kuwa Yesu angerejea wakati wa maisha yao, Biblia inasema kuwa wakati wa kurudi kwa Yesu unajulikana na Mungu pekee, na si wanadamu. Hii inathibitishwa na Mathayo 24:36, ambapo Yesu anasema, "Lakini kuhusu siku ile na saa ile, hakuna ajuaye, wala malaika wa mbinguni, bali Baba yangu pekee." Hii inaonyesha kuwa kurudi kwa Yesu hakupaswi kutabiriwa kwa usahihi. Aidha, katika Matendo 1:9-11, Yesu alipokuwa akipelekwa mbinguni, malaika walimwambia mitume, "Huyu Yesu atakayeondoka kwenu aende mbinguni, atakuja vivyo hivyo kama mlivyomuona aende mbinguni." Hii inaonyesha kurudi kwa Yesu katika siku zijazo, lakini hakutoa ratiba maalum.

Pili, maandiko ya Paulo kuhusu kurudi kwa Yesu yanaweza kuonyesha kwamba aliona kurudi kwake kuwa karibu, lakini hakusema kuwa itatokea ndani ya kipindi kifupi. Katika 1 Wathesalonike 4:16-17, Paulo anasema, "Kwa maana Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni kwa kelele, kwa sauti ya malaika mkuu, na kwa tarumbeta ya Mungu; na wafu waliomo Kristo watafufuliwa kwanza. Kisha sisi tulio hai, tulio baki, tutachukuliwa pamoja nao katika mawingu, ili kumlaki Bwana angani." Hii inaonyesha kurudi kwa Yesu kama tukio la baadaye ambapo wafu na walio hai wataungana naye.

Tatu, kuhusu usemi wa Yesu kwamba "hii kizazi halitapita," tunapaswa kuelewa kuwa Yesu alikuwa akizungumza kuhusu matukio yanayohusiana na uharibifu wa Yerusalemu katika mwaka wa 70 BK, na si kurejea kwa Kristo mwenyewe. Hata hivyo, hii haifanyi ahadi ya kurudi kwa Yesu kuwa batili, kwani Mathayo 24:34 inasema, "Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hata mambo haya yote yatakapofanyika." Hii inaweza kumaanisha utimizo wa baadhi ya unabii wa karibu, lakini si kurudi kwa Kristo.

Mwisho, katika Ufunuo 22:7, Yohana anasema, "Tazama, ninakuja upesi." Hii inaweza kuonekana kama kurudi kwa Yesu, lakini neno "upesi" linapaswa kueleweka kwa mtindo wa wakati wa Mungu, ambao ni tofauti na mtindo wa binadamu. Kama ilivyoelezwa katika 2 Petro 3:8, "Lakini, wapendwa, msiwe na shaka kuhusu hili, kwamba kwa Bwana siku moja ni kama miaka elfu moja, na miaka elfu moja kama siku moja." Hii inaonyesha kuwa mtazamo wa Mungu kuhusu wakati ni tofauti na wetu, na kwa hivyo, muda mrefu unaonekana kwa wanadamu inaweza kuwa muda mfupi mbele ya Mungu.

Kwa hivyo, hata kama mitume wote walikufa bila Yesu kurejea, imani ya kurejea kwake bado ina msingi thabiti katika Maandiko, na tunapaswa kuendelea kumngojea kwa imani, huku tukijua kuwa muda wa Mungu ni tofauti na wetu.
 
Hizi story kuwa Israel akifika Damascus itakuwa mwisho wake unazitoa wapi

Mkuu hadithi hizi ziko toka October 7....akiingia Gaza.....akiingia Rafa....akiingia Khan Younis.......mpaka leo! Lazima wajipe matumaini!
 
Ndio namwambia anasema Kuna Hadith sijui Muhammad kasema
 
Wacho story wapi nimesema uwongo.
Mimi siyo mtu wa story.

Hapo uliposema kuwa Masiha Yesu aliwaambia wanafunzi wake kuwa angerudi kabla ya kufa kwao. Hakuna sehemu yoyote kwenye biblia aliposema hivyo.
 
Hebu kuwa na akili basi kwenye vitu serious.

Kama umeshindwa kujikita katika mada fungua huo uzi wa Hamas na Israel uelezee yako.

Pamoja ya kwamba swali lako kuhusu Hamas ni upuuzi

Hivi unashindwa kuona upuuzi wa swali lako mkuu! Mbona huulizi nani amempa mamlaka Turkey kuishambulia Syria! ?
 
Kuna baadhi ya mambo yana shangaza dunia hii hasa hapo middle east.

Mfano mgogoro huu unao endelea Syria baada ya aliyekuwa Rais wa Syria Bashar al- Assad kupinduliwa na wanaoitwa waasi au magaidi wa HTS.

Jambo la kushangaza baada ya Assad kupinduliwa jeshi la Israel lilianzisha mara moja mashambulizi ya anga katika vituo mbalimbali vya kijeshi Syria pasipo kuwa na sababu yoyote.

Wanaoitwa waasi/magaidi hawaja husika kwa namna yoyote ile katika kuishambulia Israel bali katika kuundoa utawala wa Assad na kuweka utawala wao mpya hivyo huu ni mgogoro wa ndani kwa ndani Syria pasipo Israel kushambuliwa kwa hata na bomu wala risasi yoyote ila kinyume chake Israel yeye ndie ameishambulia kwa mabomu Syria toka kuangushwa utawala wa Assad.

Pamoja na hayo yote jeshi la Israel limejisogeza ndani zaidi katika eneo la Syria toka kupinduliwa kwa utawala wa Assad.

Haya mamlaka ya Israel kufanya yote haya pasipo hata kuchokozwa na utawala mpya kapata wapi na je, siku huu utawala mpya wa Syria ukianzisha mashambulizi dhidi ya Israel kwa lengo la kulipa kisasi ni nani atahesabika mwenye makosa?

Why did Turkey attack Syria..

View: https://youtu.be/t76lQNh0AY8
 
Turkish occupation of northern Syria​

The Turkish Armed Forces and its ally the Syrian National Army have occupied[10][11] areas of northern Syria since August 2016, during the Syrian civil war. Though these areas nominally acknowledge a government affiliated with the Syrian opposition, in practice they constitute a separate proto-state[12] under the dual authority of decentralized native local councils and Turkish military administration.

Turkish-controlled areas of Syria comprise a 8,835-square-kilometre area encompassing over 1,000 settlements, including towns such as al-Bab, Azaz, Jarabulus, Rajo, Tal Abyad and Ras al-Ayn. The majority of these settlements had been captured from the Islamic State (IS) and the Syrian Democratic Forces (SDF) groups, both of which have been designated as terrorist organisations by the Turkish government, though the SDF is not seen this way by most of the international community, notably including the United States and European Union. Some towns, including Azaz, were also under the control of the Syrian opposition before Turkish intervention. The Syrian Interim Government moved into the Turkish-controlled territories and began to extend partial authority there, including providing documents to Syrian citizens. These areas are referred to as "safe zones" by Turkish authorities.[13] The occupation has allegedly led to human rights abuses in some areas, including ethnic cleansing.[14][15][16][17]
 
Haya kongea Mtume Muhammad miaka 1445 kuwa kutotokea fitna na adu wa waislam atafika mpa Ghouta Syria kwenye mlango wa Damascus ndio tunayo yaona.

View: https://youtu.be/GOT7IwDxq7s?si=gS0aUspteBmoTNs1

View: https://youtu.be/-iQHJxOAXew?si=xsXH2jmgnQ7zS4up

Mzee Hawa ni wapiga ramli tu,

Hakuna hadithi ya Muhammad aliyosema Israel akiingia Damascus,nasema hakuna kama ipo leta hapa

Katika Hadithi fulani, inasemekana kuwa Dimaashq (Damascus) itakuwa sehemu muhimu katika vita vya mwisho. Mojawapo ya Hadithi inasema:

"Wakati wa mwisho, wataingia mji wa Dimaashq, na utakuwa ni mji wa kumaliza vita." (Sunan Ibn Majah).

Hii inahusisha mji wa Damascus kama sehemu kuu katika matukio makubwa ya mwisho wa dunia.

Hata hivyo, Hadithi za Muhammad kuhusu Syria hazizingatii moja kwa moja Israel kuingia Damascus.

Tafsiri na kuelewa Hadithi hizi ni jambo linaloendelea kujadiliwa na wanazuoni, na baadhi ya tafsiri za baadaye zinahusisha matukio mbalimbali yanayoweza kuhusisha vita vya kati ya mataifa, lakini hazikubali kwa wazi Israel kuingia Damascus.

Kifupi wanabahatisha tu
 
Kuna baadhi ya mambo yana shangaza dunia hii hasa hapo middle east.

Mfano mgogoro huu unao endelea Syria baada ya aliyekuwa Rais wa Syria Bashar al- Assad kupinduliwa na wanaoitwa waasi au magaidi wa HTS.

Jambo la kushangaza baada ya Assad kupinduliwa jeshi la Israel lilianzisha mara moja mashambulizi ya anga katika vituo mbalimbali vya kijeshi Syria pasipo kuwa na sababu yoyote.

Wanaoitwa waasi/magaidi hawaja husika kwa namna yoyote ile katika kuishambulia Israel bali katika kuundoa utawala wa Assad na kuweka utawala wao mpya hivyo huu ni mgogoro wa ndani kwa ndani Syria pasipo Israel kushambuliwa kwa hata na bomu wala risasi yoyote ila kinyume chake Israel yeye ndie ameishambulia kwa mabomu Syria toka kuangushwa utawala wa Assad.

Pamoja na hayo yote jeshi la Israel limejisogeza ndani zaidi katika eneo la Syria toka kupinduliwa kwa utawala wa Assad.

Haya mamlaka ya Israel kufanya yote haya pasipo hata kuchokozwa na utawala mpya kapata wapi na je, siku huu utawala mpya wa Syria ukianzisha mashambulizi dhidi ya Israel kwa lengo la kulipa kisasi ni nani atahesabika mwenye makosa?
Screenshot_20241211-161538.jpg
 
Hapo ndipo utashangaa dunia ilivyochenga. Ila kwa ufupi tuu waliomuondoa huyo rais wa syria walikuw hao marekan na vibaraka wake wengine akiwepo huyo israel.

Sasa kinachotokea ndio matokeo ya0 au malipo ya ujinga wao wao wenyewe wa Syria. Ukisikiliza utasikia kuwa israel inalipua hayo mabomu ili wale wana mgambo wa hizibola wasipate misaada kutoka iran na kwingine kufika lebanon.

Lakin kwa taarifa yako tuu, nikuw israel ni kitambo walikuw wameshika udhibiti kwenye maeneo ya syria ikiwa milima ya togorani (spelling sizijui)
 
Mzee Hawa ni wapiga ramli tu,

Hakuna hadithi ya Muhammad aliyosema Israel akiingia Damascus,nasema hakuna kama ipo leta hapa

Katika Hadithi fulani, inasemekana kuwa Dimaashq (Damascus) itakuwa sehemu muhimu katika vita vya mwisho. Mojawapo ya Hadithi inasema:

"Wakati wa mwisho, wataingia mji wa Dimaashq, na utakuwa ni mji wa kumaliza vita." (Sunan Ibn Majah).

Hii inahusisha mji wa Damascus kama sehemu kuu katika matukio makubwa ya mwisho wa dunia.

Hata hivyo, Hadithi za Muhammad kuhusu Syria hazizingatii moja kwa moja Israel kuingia Damascus.

Tafsiri na kuelewa Hadithi hizi ni jambo linaloendelea kujadiliwa na wanazuoni, na baadhi ya tafsiri za baadaye zinahusisha matukio mbalimbali yanayoweza kuhusisha vita vya kati ya mataifa, lakini hazikubali kwa wazi Israel kuingia Damascus.

Kifupi wanabahatisha tu
Hio hadith ilisema sio kwa jina Israel, sababu hakuna taifa linaitwa Israel wakati wa Mtume Muhammad, alicho ongea ni hivi; Wasimuliaji wanazungumzia mapambano kati ya majeshi mawili makubwa ya Kiislamu huko Syria,, na uingiliaji kati kutoka kaskazini na magharibi mwa nchi. Hadith ipo si utani.

It was narrated that Ibn Hawaalah said: The Messenger of Allah (blessings and peace of Allah be upon him) said: “This matter will end with you becoming massed troops: troops in ash-Shaam, troops in Yemen, and troops in Iraq.”

Ibn Hawaalah said: Choose for me, O Messenger of Allah, if I should live to see that.

He said: “You should go to ash-Shaam, for it is Allah’s chosen land, to which He will gather His chosen slaves. But if you refuse, then go to Yemen and draw water from your ponds, for Allah has promised me that He will take care of ash-Shaam and its people.” Narrated by Abu Daawood (2483). Classed as saheeh by al-Albaani in Saheeh Sunan Abi Daawood (2483).

Any way mimi siamini sana hadith nacho kubaliana na hi hadithi ni wengi masheikh wa kislam wanasema Syria ndio itakuwa vita kati ya Waislam na mataifa mengine.

Narudia Israel ana someka ni wale wako against Uislam. Ndio hapo inaongelea sio jina la Israel. Hilo taifa silimeundwa mwaka 1948 na Muingereza tu. Halikuwepo na litaondoka tu.

View: https://youtu.be/E4bss0_rc10?si=Ysb1GabKaEVrj_Ph
 
Kadhi kakujibu kifilosofia. Yaani wewe haujui masuala yanayohusu ulinzi wa mipaka ya nchi!!?? Unataka mpaka hao Magaidi wenu wa Kisunni waishambulie Israel kama walivyofanya KAMASI ZENU ndiyo wao wazinduke usingizini? Kwa Taarifa yako HTS wameisha tangaza wataishambulia Jerusalem na baadae waingie Macca.
Na wewe pia tukuulize nani kamruhusu Gaidi wenu Mkuu Edogan wa Uturuki kuyashambulia Maeneo ya Wakurdi huko Syria?
Kwa taarifa yako nyinyi magaidi wa Kisunni ni wakatili na wachinjaji wakubwa kupita Mashia. Abu Mohammad Al Jolan is a monster

View: https://x.com/Osint613/status/1866047665345036338

Meja jenelali mkuu wa utawala Rais Assad wa Syria uliopinduliwa amenyongwa hadharani leo. Hii ndio Syria mpya
 
Back
Top Bottom