Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Sugu alikuwa vizuri sana naamini kabisa siasa ina ua vipaji kabisa hata Jay anaweza kuacha mziki kabisa!
Kama ulikuwa hujawahi kumuona shetani basi kwa mwanamke huyu utaona kabisa shetani akijidhihirisha kwa matendo ya kuangamiza kupitia huyu dada ha ha haAna wivu mpaka shetani anamwogopa.
Afu anajiona anaogopwa dunia nzima!
Like her opinion the Law! Pathetic clown.
Mi hata siku akimsifia nani bado sio salama kwa Afya yangu as a matter of fact kaumiza wengi sana.
Kama ulikuwa hujawahi kumuona shetani basi kwa mwanamke huyu utaona kabisa shetani akijidhihirisha kwa matendo ya kuangamiza kupitia huyu dada ha ha ha
Kama haka kapare kenye make up kama jini, sijui kanamtaka....
Akisema vote for d, anakuwa malikia, akisema otherwise anakuwa ma.la..., to me she is always a stupid as...!
Kipindi hicho watu wanafanya muziki kuonyesha uwezo kuanzia wasanii mpaka maprodyuza. Sasa hivi watu wanafanyia muziki pesa mbele uwezo nyuma.
PFunk na Jay walikuwa wanakataa kumrekodi msanii asiye na uwezo ata akiwa na pesa mkononi... Leo ukiwa na laki mbili unatoa wimbo ata kama unakohoa wimbo mzima na ukikata pesa una hit vizuri tu.
Muziki umetokea mbali sana.
Unachanganya madesa hapa
Hii mada ya muheshimiwa sugu sio dai .
Tukutane kwa dai almasi.Halafu mchango umetoa king kafukuzwa au haujapata taarifa.
Yani yule mpare kila mtu ni mbaya, nadhani kwake mzuri ni baba kenzo tuNa kalisema kenyewe kuwa cku sugu akikamata mitama double double inakahusu!! achezeya sugu yeye!
Hapo namwongezea Barozi,acha kabisa.
Una haribu uzi boss ulitakiwa kukausha tu,sio kila saa ligi u have to be brave son!
Hapo namwongezea Barozi,acha kabisa.
Nimekuelewa mkuu ushauri wako naufanyia kazi.
Ila kuna raia wanamchukulia poa sana!