Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yale hayakua mapenzi/ Sugu Moto chini ndio track zake nazozikubali mpaka keshoooo huyu jamaa alikua noma na bdo namkubali. Anakwambia Bangi nilivuta zamani na ndio mpaka leo inanipa misimamoo.
Hayakuwa mapenz ni moja kati ya nyimbo zangu bora zinazoelezea mambo ya break up. Naukubali kinoma
Mle ndani kaongea sna kwa hisia mtu mzima Sugu, alaf naskia ilikua stori ya kweli.
Kakalambe tu, if I were a man mie mnara usingekamata network
Balozi bado nipo, nipo nipo kwenye chart kwenye chart! Na uhakika kila mwaka nashika moja namba natamba.........
Kakalambe tu, if I were a man mie mnara usingekamata network
Ameanza kurap kabla ya FM
Balozi nimemsi sana na songi lake Fulani hivi amazing lina chorus hii hapa
" wengi walikuepo sasahivi wako wapi wako wapi.....balozi bado nipo ninatesa kwenye chati kwenye chati ....nashika ileile ....ile moja nambaaa.....natambaa......."
Jamaa nimemkumbuka sana japo nilikua mdogo kipindi hicho but nilikua nafutilia vizuri sana.
Balozi na sugu nani wa kwanza kutoa wimbo? Wakati huo nilikuwa form one.
Kumbe sasa nimeshaelewa hapa ndio maana huwa hatuelewani kumbe chekechea mpo wengi!
Kumbe wakati Sugu na Dola soul wanashiriki mundial festival Amsterdam Holland wewe ulikuwa unanyonya? Ndio maana watoto wote ni vigumu kujuwa wasanii waliofanya sana tour za ulaya ni Xplastaz kutoka Arusha, Ndio maana kelele zimekuwa nyingi humu Diamond akijamba kwenu ni jambo la ajabu au ndio wa kwanza kumbe tatizo umri? Ok nimekuelewa sasa, Nyimbo inaitwa kwenye chart aliflow kwa beat zinazoendana na za Still dre ya Dr Dre zao la After math record baada ya kujitenga kutonga Death Row Records ya Suge night.
Hata nazi ni kubwa, kama ngogweAisee ana ta...ko kama nazi
Labda unakavutia picha ya mtu mwingineMmhh.! Kisela tu,hauwek makazi.