Nani kamdanganya Bhoke wa EATV anapendeza akipepesa macho yake kama kaingiwa na mchanga

Nani kamdanganya Bhoke wa EATV anapendeza akipepesa macho yake kama kaingiwa na mchanga

Huyu msichana wa zamani aliyeigiza soft porn enzi za Big Brother ana pozi lake la kupepesa macho mfululizo kama vile kaingiwa na mchanga machoni.

Nahisi kuna aliemdanganya anapendeza japo kiuhalisia anakuwa kama mchawi.

Sredi tayari

View attachment 2534068
hili lidada ni BONGE la feminist
 
Huyu msichana wa zamani aliyeigiza soft porn enzi za Big Brother ana pozi lake la kupepesa macho mfululizo kama vile kaingiwa na mchanga machoni.

Nahisi kuna aliemdanganya anapendeza japo kiuhalisia anakuwa kama mchawi.

Sredi tayari

View attachment 2534068

Nani alikwambia anataka kupendeza? Ila BF alimuuliza how much? Hawa wanawake wa hovyo sana
 
Acha kukashifu kabila za watu. Ondoa ulimbukeni wa kuendekeza ukabila.

Ukute baba yako mzazi ni mzaramo, huyo unaemuita baba sasa kapewa zigo tu alilee ambapo zigo lenyewe ndio wewe.
Tatizo wazaramo maneno meeengi vitendo sifuri
 
Back
Top Bottom