Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Huo ni Uzushi...mods wamesema.Kuna nadharia kuwa size ya mdomo huakisi size ya maungo fulani katika mwili.
Kama nadharia hiyo ina ukweli basi Bi. Bhoke itakuwa kajaaliwa hasa, ukienda kizembe unaweza toka kapa.
SI KWELI - Midomo ya mwanamke ina uhusiano na ukubwa wa uke wake
Midomo ya mwanamke ina uhusiano na uke wake yaani kama akiwa na midomo mikubwa na uke wake unaweza kuwa mkubwa?
www.jamiiforums.com