Nani kamdanganya Bhoke wa EATV anapendeza akipepesa macho yake kama kaingiwa na mchanga

hili lidada ni BONGE la feminist
 

Nani alikwambia anataka kupendeza? Ila BF alimuuliza how much? Hawa wanawake wa hovyo sana
 
Acha kukashifu kabila za watu. Ondoa ulimbukeni wa kuendekeza ukabila.

Ukute baba yako mzazi ni mzaramo, huyo unaemuita baba sasa kapewa zigo tu alilee ambapo zigo lenyewe ndio wewe.
Tatizo wazaramo maneno meeengi vitendo sifuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…