Nani kamdanganya Bhoke wa EATV anapendeza akipepesa macho yake kama kaingiwa na mchanga

Nani kamdanganya Bhoke wa EATV anapendeza akipepesa macho yake kama kaingiwa na mchanga

huu ndiyo unyanyasaji tunaousemea humu kwenye mtandao.
Kipi hapo kinachoashiria manyanyaso????

Hakuna kiungo mahsusi kilichotajwa kiasi cha kuleta hisia ya manyanyaso

Niwie radhi endapo una maungo unayohisi yana akisiwa na kinywa chako, si dhamira yangu kulenga mapungufu ama tuite majaaliwa yako ya ziada.
 
Usijifanye kutokuelewa lugha ya kiswahili na maana ya maneno yaliyoandikwa hapo. Ingekuwa ni mdogo wako wa kike ameandikwa hivyo ungefurahia?
 
Usijifanye kutokuelewa lugha ya kiswahili na maana ya maneno yaliyoandikwa hapo. Ingekuwa ni mdogo wako wa kike ameandikwa hivyo ungefurahia?
SAHIHISHO: Siwezi kujifanya mwenyewe na kwa mujibu wa jinsia yangu mimi ndio nawafanya wa jinsia tofauti na yangu.

Tatizo unatumia nguvu kubwa sana kutaka nimaanishe ulichomaanisha/elewa.

Kwa sasa siwezi kujua kama ningefurahia ama kuchukia endapo ingekuwa ni mdogo wangu wa kike kaandikwa kwa vile si mdogo wangu aliendikwa.

Kuna kipindi katika maisha huwa ni busara zaidi kukubali kutokukubali hasa kwa yale ambayo huwezi yazuia. Mambo yanaandikwa mitandaoni ila si kila jambo la kutilia maanani na kuweka rohoni kiasi cha kukereka.

Chukulia comment yangu ni moja ya mambo ambayo huwezi kuyazuia maana nishaiandika. Sikudhamiria kumkera mtu hivyo sio nafasi yangu kuwaza sana hisia zako ya jinsi gani umeelewa ama chukulia comment yangu.

Baada ya yote maisha yanaendelea. Uwe na usiku mwema mpendwa wenye baraka tele. Alamsiki.
 
Huyu msichana wa zamani ajuza wa sasa aliyeigiza soft porn enzi za Big Brother ana pozi lake la kupepesa macho mfululizo kama vile kaingiwa na mchanga machoni.

Nahisi kuna aliemdanganya anapendeza japo kiuhalisia anakuwa kama mchawi.

Sredi tayari

View attachment 2534068
Ila Bhooke ana K muta sana japo ni mwadui lakini Iko vizuri, 🥰my Bhooke
 
Actually lile sio pozi la kupepesa macho. Lile ni pozi la mtu ambaye hayupo sawa kisaikolojia. Nilishawahi kusoma na kuona somewhere the same behavior kwa mtu mwenye psychological issues nimesahau ile mental condition yake kama sio Borderline personality disorder basi alikuwa ni nyingine but alikuwa na aina ya psychosis.
 
Back
Top Bottom